Majina ya jf bwana, hataaaree

damtanzania

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
752
1,000
Hali zenu,
Jamii forum inanipa raha sana, u will never feel lonely, maaana ukiacha topic zenye kufurahisha, majina ya wachangiaji nayo ni burudani toshaa!. Kuna baadhi ya lD mpaka unajiuliza huyu aliwaza nini kujiita hivyo.
Ni shiiiidaah kwa kweli
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,449
2,000
Galadudu ivi MO11 tuambie kwa nn ulijiita ivo?
Kwanza nilikuwa natafuta jina la kutumia nikaandika jina langu halisi ile kuconfirm tayari lina mtumiaji nikasema shit nikataka niandike jina la ukoo wetu nikaona jina la ukoo wetu + location nitajulikana moja kwa moja kwa sababu ukoo wetu ni mdogo hii inapelekea kujuana wote tunapokaa nikajalibu jina lingine

mumeoumpakuliaye likakataa eti ni tusi limezuiwa

itaendelea.......
 
Last edited by a moderator:

tinna cute

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
4,636
0

Waitng.......
 
Nikaona ngoja nirudi timu yangu pendwa nikaangalia jina lenye mvuto kwenye mpira nikakuta Mesut Ozil ndio lenye mvuto nikachukua
MO kisha nikaongezea namba anayovaa mgongoni 11

Nikaona ni jina ni fupi na rahisi kutambulika lipo kipekee herufi mbili na namba mbili

nikasema hili ni jina nitakalo tumia kila niingiapo nikala na kiapo cha sitofungua id nyingine zaidi ya
MO11
 
Last edited by a moderator:

yuleyulenimewachokaa

Senior Member
Nov 8, 2014
147
0
Nikaona ngoja nirudi timu yangu pendwa nikaangalia jina lenye mvuto kwenye mpira nikakuta Mesut Ozil ndio lenye mvuto nikachukua
MO kisha nikaongezea namba anayovaa mgongoni 11

Nikaona ni jina ni fupi na rahisi kutambulika lipo kipekee herufi mbili na namba mbili

nikasema hili ni jina nitakalo tumia kila niingiapo nikala na kiapo cha sitofungua id nyingine zaidi ya
MO11
Kumbe wewe Mo11 ni shabki wa asernal
 
Last edited by a moderator:

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
52,832
2,000
Nikaona ngoja nirudi timu yangu pendwa nikaangalia jina lenye mvuto kwenye mpira nikakuta Mesut Ozil ndio lenye mvuto nikachukua
MO kisha nikaongezea namba anayovaa mgongoni 11

Nikaona ni jina ni fupi na rahisi kutambulika lipo kipekee herufi mbili na namba mbili

nikasema hili ni jina nitakalo tumia kila niingiapo nikala na kiapo cha sitofungua id nyingine zaidi ya
MO11
Alaaa kumbeee
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom