Shairi: Mwambieni J. Kikwete

Sep 22, 2014
75
19
Semeni kipi nifanye, mheshimiwa ajue
Kwanini atuumize, watanganyika mseme
Eskroo majangani, imeniumiza uume
Nataka kujilipua, J. Kikwete mwambieni

Nataka kujilipua, J. Kikwete mwambieni
Nimechoka kujutia, mafisadi serikalini
Busha sintafikiria, nimeumizwa moyoni
Nataka kujilipua, J. Kikwete mwambieni

Huyu chenge ndio nani? Atufanyae punguani!
Tibaijuka ni nini? Eti kawa hayawani
Maswi nae kulikoni! Njaa hii, njaa gani?
Nataka kujilipua, J. Kikwete mwambieni
 
Semeni kipi nifanye, mheshimiwa ajue
Kwanini atuumize, watanganyika mseme
Eskroo majangani, imeniumiza uume
Nataka kujilipua, J. Kikwete mwambieni

Nataka kujilipua, J. Kikwete mwambieni
Nimechoka kujutia, mafisadi serikalini
Busha sintafikiria, nimeumizwa moyoni
Nataka kujilipua, J. Kikwete mwambieni

Huyu chenge ndio nani? Atufanyae punguani!
Tibaijuka ni nini? Eti kawa hayawani
Maswi nae kulikoni! Njaa hii, njaa gani?
Nataka kujilipua, J. Kikwete mwambieni

Nadhani Prof Tezi atakuwa kapata taarifa!!
 
Back
Top Bottom