JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea,nmekaa nae tokea saa 10 jioni kila nikimgusa ataki eti oh Dia nasikiliza bunge.. Nlikuwa nahamu nae sana since June tuliachana sasa tumerudiana analeta mambo...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwalimu wa shule asomayo Nunda aliwaambia wanafunzi waondoke mapema na kesho yake kila mmoja awe ameandika Insha ndefu awezavyoh ! Siku iliyofuata wanafunzi wengi wa darasa la analosoma Nunda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nunda ilitokea siku moja akavutwa na baba yake waende kanisani ,wakaingia akiwa na furaha kwani ni mara yake ya kwanza kuingia Kanisani ,akaa pembeni mwa baba yake akiwa tayari kumsikiliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya wapenzi leo alhamisi nimefungua uzi huu tutakua tunajuzana wapi kinajiri nini kwenye masuala ya starches. Anaeona uzi haumfai aruke na kupaa kruuuu sitaki shobo wala jasho la mtu hapa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
GreatThinkers, Inaonekana amekera watu wengi mpaka sasa wamesema basi, kama ataleta za kuleta ktk hili jambo basi ajiandae kupigwa............. Labda kama kuna mwingine ana taarifa zaidi kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Camel - YouTube
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba tuwe wa wazi umu je ungeingiziwa pesa zaidi ya billion moja na benk ya mkombozi sijui ni mkombozi wa mafisadi bank.Je ungekataa? Naomba uwe wazi .
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Juzi kati niliwakuta vijana fulani pale mtaani kwetu wakibishana kwamba ni kabila gani huko bara wanawake wanaongoza kwa kuwa makalio makubwa. Kijana mmoja ambaye aliishi huko bara alidai kwamba...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
I cant sleep because I have been thinking of you much.....I cant eat because all I do is think of you.... I cant concentrate because you are constantly on my mind..... I cant work because all I do...
8 Reactions
293 Replies
16K Views
Hii
ㅎㅌㅌ홓ㅍㅊㅇㅊㅊ폭ㅇㅌ렆ㅌㅌ홍첳ㅍㅊㄾ초ㅓㅡㅏ&#126...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Habari zilizotufikia hapa kwa sasa hivi imethibitishwa kuwa Waziri Mkuu amejiuzulu kutokana na skendo na kashfa zinazomsakama. Akiongea na waandishi wa habari kutoka USA, rais amethibitisha kuwa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Umofia Kwenu wana JF, Najua Escrow ndio habari ya mujini lakini tusiwasahau nao kina PAP wengine.Huwa najiuliza TCRA wapo wapi? Watu wanaibiwa wao wapo tu,hivi inawezekana vipi utimize ndoto zako...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=205828&stc=1&d=1417013004
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukiwa na dogo kama huyu ni kaaaaaazi kwelikweli
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni siku yako Mungu akupe Maisha marefu mkuu-HBD to you
1 Reactions
17 Replies
7K Views
1 Reactions
0 Replies
2K Views
leo nawaletea hii: PCM-people calculating like machine PCB -people confusing brain PGM-people going to moon BAM-b wege aliyekimbia mathematics EGM-expected general manager HGL-housegirl...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
wiki iliyo pita tumetembelewa hapa chuoni kwetu na watu wa damu salama, yule afisa alieleza mambo mengi juu watu wanao paswa kuchangia damu na magonjwa ambayo yanasababisha watu wasichangie. Vile...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Happy gobble gobble day y'all . For those in the nor'easter's path, stay safe. All others, wherever you are, be easy.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom