JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna jamaa mmoja alikuwa dhurumati na mwenye kupenda sana kuiba mali za watu. Kuna siku alisikia mawaidha kuwa mtu akifa adhabu uhanzia kaburini. Na akitaka kusalimia na adhabu ya kaburini bora...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Kesho madereva wote wa daladala wanaandama mpaka kwa muheshimiwa rais nao wapewe wilaya ya temeke baada ya wilaya ya kinondoni kupewa makonda
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ilikuwa hivi……nin?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nasikia kesho madereva wote wa daladala wanaandama mpaka kwa muheshimiwa rais nao wapewe wilaya ya temeke baada ya wilaya ya kinondoni kupewa makonda..........
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi sio mzoefu wa pombe yaani kichwa panzi.Basi kutokana na kuwa "bored" nikaamua kutoka na rafiki yangu kwenda bar ambaye na yeye sio mtumiaji sana wa vilevi. Kufika bar tukakutana na jamaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni mwaka mwingine wa maisha yangu hapa duniani.Namshukuru Mungu kwa kunipa zawadi ya mwaka mwingine.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
MAZUNGUMZO YA WADADA mary: hello, sarah: hello kipenzi mzima wewe? mary: niko poa dia,nimekumisi. Sarah: Ata mimi mary: nimekupigia simu kukujulisha kua nitakuja kukutembelea Leo...
9 Reactions
48 Replies
16K Views
Domo kama sufuria ya gerezani!! Pole sana!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kama ilivyo tamaduni za wamasai najua wote 2nafahamu kuwa wanapenda sana kuvaa mashuka na kufunga lubega ndani no boxer wala pichu wala bukta. basi siku moko mmasai alipata kualikwa katika sherehe...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
MTU ASIPOTAKA KITU UTAJUA TU Girl: Baby kila siku wenzangu wanapelekwa out na bby zao mara serengeti, mara Zanzibar kwann wewe hunipeleki? Boy: wiki hii nitakulepeka Girl: waooooo bby asante...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu wa chitchat.Napiga hodi naomba mnipokee humu. Asante.
0 Reactions
6 Replies
980 Views
Miaka ya zamani kusikia msiba au flani kafariki ilikuwa no nadra ila kwa sahivi duuh haipiti wiki bila kusikia flani kafariki. kama leo hii ni wiki ya nne mfululizo kwenye usharika mmoja hapa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili ni swali rahisi sana, ila watu huwa wanapata kigugumizi kujibu au huongopa.
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Haya kila mtu achangie kwa uwezo wake na atakae onekana kuandika kitu chenye mvuto zaidi ya wengine nitampatia zawadi personaly.... Unatakiwa kutyp neno Ujanja ni....alafu unatuwekea maelezo kwa...
0 Reactions
72 Replies
13K Views
MTU ASIPOTAKA KITU UTAJUA TU! Girl: Baby kila siku wenzangu wanapelekwa out na bby zao mara Serengeti, mara Zanzibar kwann wewe hunipeleki? Boy: Wiki hii nitakupeleka Girl: Waoo bby asante...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu. Jioni hii nimemwagika hapa maana nimeona macho yanazidi nikodolea kila nipitapo. Haswa ni hapa kazini, yaani watu kila leo kila kuche utasikia Kasie siku hizi unanenepa pamoja na...
0 Reactions
102 Replies
7K Views
Habari zenu wakubwa, i hope u had a great weekend all. Kweli binafsi niliwamiss sana yani tangu J8, mchana nilikua full bize yani weekend yote hata mda wa kuingia huku nimekosa, kuna kesi nilikua...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
This joint by Eamon created some buzz back in '04 when it came out. It is still a hot joint to this day, I think. If you know it, where were you when it first came out? Does is it remind you...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
A helicopter was flying around above Seattle when an electrical malfunction disabled all of the aircraft's electronic navigation and communications equipment. Due to the clouds and haze, the...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Bila shaka jumapili imekuwa njema kwa mlioenda makanisani kupeleka michango ya ujenzi na mafuta ya gari ya mchungaji, na kwa wale mliojishindia nyumbani kama mimi hamjambo...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…