Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,781 Reaction score 16,933 Feb 24, 2015 #1 Kesho madereva wote wa daladala wanaandama mpaka kwa muheshimiwa rais nao wapewe wilaya ya temeke baada ya wilaya ya kinondoni kupewa makonda
Kesho madereva wote wa daladala wanaandama mpaka kwa muheshimiwa rais nao wapewe wilaya ya temeke baada ya wilaya ya kinondoni kupewa makonda
Sodium JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 754 Reaction score 406 Feb 24, 2015 #2 Nimejuta kufungua hii thread.
N Nali JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 1,155 Reaction score 815 Feb 24, 2015 #3 Safi iyooo...kwanini wao wamesahauliwa? Kama Makonda kapewa iweje wao wamenyimwa? Ata mimi nashangaa kwanini Wema kaachwa bila uteuzi? Alaaa!
Safi iyooo...kwanini wao wamesahauliwa? Kama Makonda kapewa iweje wao wamenyimwa? Ata mimi nashangaa kwanini Wema kaachwa bila uteuzi? Alaaa!
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,781 Reaction score 16,933 Feb 24, 2015 Thread starter #4 Sodium said: Nimejuta kufungua hii thread. Click to expand... Pole mkuu!