Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
Habari zenu wakubwa, i hope u had a great weekend all.
Kweli binafsi niliwamiss sana yani tangu J8, mchana nilikua full bize yani weekend yote hata mda wa kuingia huku nimekosa, kuna kesi nilikua na solve, ya wapendanao wawili na namshukuru Mungu ni mwema mambo yameenda
sawasawa, na sasa penzi la ndugu hawa linaendelea vyema.
Miss u sana and love u all japo siwafahamu wala sijahawi kuona. ila najua wengine nimeshakaa nao siti moja katika
daladala, au majumuiko mengine.
Cheers.