duuh! masai ni noumaaa!!...

duuh! masai ni noumaaa!!...

jitupori

Senior Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
199
Reaction score
77
kama ilivyo tamaduni za wamasai najua wote 2nafahamu kuwa wanapenda sana kuvaa mashuka na kufunga lubega ndani no boxer wala pichu wala bukta. basi siku moko mmasai alipata kualikwa katika sherehe ya harusi ya rafiki yake. basi kwa kuwa wamasai wamekuwa wa2 wa kujiachia sana jamaa akaamua kununua bukta kwa kuwa alijua anakokwenda ni kwenye mkusanyiko mkubwa wa wa2 hivyo inambidi hajisitjiri. basi masai akafika ktk sherehe jamaa kakaribishwa kwa chakula na vinywaji...
basi masai baada ya kama nusu saa hv haja kubwa ikamshika.kwa kuwa kulikuwa na wa2 weng masai ikambidi aingie kichakani jamaa ile kufika 2 kakunja mashuka na kuanzaa kujisaidia. duh! ile ainuke akicheki kinyesi hakipo masai. dah jamaa ikabidi arudi kuendelea na burudani ya muziki, ile kukaa2 masai hakaisi vi2 vya baridi kwenye makalio. jamaa kucheki kakalia kinyesi chake. duh! kumbe masai alisahau kuvua bukta pindi alipokuwa anajisaidia.dah! vi2 vingine bwn kama hujazoea usifanye usije ukaumbuka....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom