Swali rahisi lakini gumu kujibika

Swali rahisi lakini gumu kujibika

mwalimumzalendo1

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,098
Reaction score
407
1424191384208.jpg

Hili ni swali rahisi sana, ila watu huwa wanapata kigugumizi kujibu au huongopa.
 
Sio wote wanapata kigumizi kijibu hilo swali.. Kama mimi hapo najibu kirahisi tu
 
Maswali mengine hata hayana mantinki khaa!!!!!!!

Ha ha ha ha ndiyo mpenzi mpya anauliza ..mi huwa nahisi wamejiandaa kisaikolojia kudanganywa .....swal muhimu ni je unamtu sasa? Ili napo ingia nijue nipo vitani au nirelax kwa sababu kuna wengine bana unakuta ana mpenzi wamegombana hawajaachana alafu anakuomba umpe moyo wako loh ...huu ni ulafi wa mapenzi...
 
Back
Top Bottom