Pombe Kiboko

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,607
1,817
Kuna jamaa mmoja alikuwa dhurumati na mwenye kupenda sana kuiba mali za watu. Kuna siku alisikia mawaidha kuwa mtu akifa adhabu uhanzia kaburini. Na akitaka kusalimia na adhabu ya kaburini bora awache. Siku moja katika safari zake usiku akitokea bar, huku akiwa ameutwika, alijikuta akitumbukia katika shimo kubwa na alikuwa hawezi kutoka, kwa bahati mle ndani ya shimo kuna Mmasaai ambaye naye alikuwa ametumbukia kitambo.

Kama unavyojua tena kuwa wamasaai wanatembea na zana. Sasa kwa kuwa jamaa alimdondokea yule Mmasaai, Mmasaai wa watu akapanda hasira akaanza kumpiga yule jamaa. Jamaa bila ya kumjua ni nani anaye mpiga, mara jamaa akaanza kupiga kelele "mikail nisameheee sitendi zambi tenaa nimikomaaaaaa....!".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom