https://www.youtube.com/watch?v=wa-F1EaXOnw&list=PLFicgoLmmsguEv7FMKkXxL4zdZtMECy4z
Daaah!
hebu aje mtu anitafsirie hapa. Lugha ngumu kweli
AT pamoja na CHOLO.
Kitu Swaffi!
Kuna baadhi ya wanaume hupenda wadada shauri ya uniform . Kwa mfano makundi ya wanafunzi, manesi akifika hospitali, askari. waitress wa hotelini ama barmaid wenye uniform.Sasa sijui kuna kitu...
Imethibitika kuwa Dr manyau nyau hajawahi kula paka wala nini....
Ile ni geresha tu, ukweli ni kwamba ile huwa ni burger tu... nasema huwa anatafuna burger na kutumia uchawi kuonesha kuwa yule...
Mwanadada huyu kanidokeza anataka kugombea udiwani katika kata yake kule kijijini kwao. Mimi mwenyewe sitoshi kumshauri mdau huyu maarufu katika jukwaa hili. Ila namuunga mkono kwa wazo hilo...
Unakuta unaenda saluni kunyoa lakini kinyozi anataka kutengeneza pesa mara anakuuliza vipi unataka scrub, unaonaje tukikupaka dawa ya mba, mara akuulize kama unataka kupaka piko,ningetaka yote hao...
Ni rahisi sana kuwa group admin whatsapp kuliko group admin chuo ni rahisi sana kumtongoza msichana kwenye simu kuliko face to face ni rahisi sana kufaulu form four kuliko form six.
Ni rahisi...
BREAKING NEWS BREAKING NEWS
Taarifa zilizo2fikia hiv punde ni kwamba Mcharoâ¬kafirisika,mke wake sa hiv ni dagaa kwa mlenda mpk anawakera majran,mwanae mcharo karudshwa nyumban kisa ada...
Bakhili na mwanawe mdogo walikuwa wakitembea tembea mjini, mara wakapita watu wamebeba jeneza wanakwenda kuzika, wakamsikia mke wa marehemu analia akisema:
Mume wangu ehe ehe ehe!! leo...
Hawajamaa huwa wanataja majina mengi sana wakati wakusalimiana huku wakijigongagonga kifuani kwa ngumi,
hebu tiririka hapa hayo majina,..makes..
So funny...
Habari ya kazi wadau??mimi ni mgeni kwenye Jamiii forum ila napenda sana kusoma JOKES zenu humu huwa navunjika mbavu sana..:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Ten kilometers barefooted in the bush,
Started raining on the way to fetch some water,
Poor woman had a baby on her back,
Was struck by lightning on her way,
To fetch some water...
She tried...
Taarifa za kiintelijensia zinasema leo hii kutwa nzima Erickb52 ameonekana busy na magudulia ya maji anazima moto Nairobi.
Chocs mpenzi siku nyingi unajua nakuzimia,saa ya ukombozi ni...
People say that women talk too much. But there's
no problem, cause the male ear's is SELECTIVE
EXAMPLE
When a women say;
This house is mess,
Honey you and i need to clean this,
Yuor...
Bishanga niko Didis masaki, nikigeuka kushoto oh bishanga kam zis wei,nikigeuka kulia jamani bishanga long time no see,nikigeuka nyuma darling bishanga naomba ela nikatoe mimba yako,mbele yangu...
Baada ya kuwa fesibuku kwa muda mrefu nimeamua sasa kujiunga rasmi huku,kule nimeacha mazimaaaa na nimetelekeza akaunti,kumeniboa sana.Naombeni huku mnipokee vizuri ila,
1.Msinitongoze - hii ina...