Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,333
Kwenda kwa:wana jf
kutoka: Madame B
ndugu wana jf napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu nyote kwa ushirikiano mliouonyesha toka nilipotangazwa kuwa mgombea wa jf miss chitchat 2012 mpaka dakika hii.namshukuru ndugu Ruhazwe JR kwa kuona nafaa katika hichi kinyang'anyiro cha kumsaka miss chitchat 2012.nashukuru kwa hilo.
Pili napenda kuwapongeza wote waliojitokeza toka mchakato uanze kwa kweli mmeonyesha nia yenu ya kuniona naibuka kidedea mwaka 2012,nashukuru sana na kwa wote wanaonisupport.
Tatu naamini hapa tupo katika uchaguzi na wasimamizi wapo,napenda kuwakumbusha kufuata sheria zote zinazotakiwa katika huu uchaguzi.kwa wale
ambao hawajapiga kura pigeni kura zenu hapa CHAGUA MADAME B HAPA
chagua Madame B kuwa jf miss chitchat 2012.
Asanteni.

Last edited by a moderator: