Habari wana JF!
Upo kwenye basi mmejazana, kwa bahati mbaya umemkanyaga mtu, unamuomba msamaha ila yeye hakuelewi anaanza kukutolea maneno ya ajabu. Hivi utafanya nini?
Kuomba radhi inatosha hakuna jingine la kufanya.Ukweli ni kwamba watanzania
wengi si waungwana, wanapenda sana bifu. Hali uliyoeleza imeshanitokea mara nyingi
na unapomtaka mtu radhi anakukodolea macho kama vile umemfanyia makusudi.
Mmoja tuligongana mabega kwenye korido ya jengo.Nilipomwoma radhi akanisonya! Nilijiona mpumbavu sana kwa kuomwomba radhi.ni kweli mkuu, ila kuna watu wana matatizo sana
"mkanyage" tena atanyamaza...
"mkanyage" tena atanyamaza...