MKONGA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 667
- 458
Habari zenu jamani,
Nimeamua kutoa ya rohoni nikiwa kama mtoto wa kiume,uvumilivu umenishinda baada ya kupitia bandiko za huyu binti Madame B nimekuwa chizi ghafla.
Nimefanya utafiti kupitia hapahapa JF nimegundua huyu mtoto anaishi kinondoni na kwa sasa nipo hapa studio nahitaji uelekeo nikapate raha kwa huyu binti maana sijamwona lakini nahisi ni mtundu mno.
Kila nikikumbuka maandiko yake huyu Madam naomba akipata ujumbe huu nipo hapa studio aje kunichukua pesa ya kutumia sio tatizo.Ninachohitaji mimi ni kufaidi utundu wake anaounadi kila kukicha.
Chonde chonde Madam nipo hapa nakusubiri na yeyote atakaye mwona amfikishie ujumbe huu leo sitoki hapa mpaka nimuone.