YAH;Tamko kali dhidi ya Arushaone,Erickb52 na bishanga

YAH;Tamko kali dhidi ya Arushaone,Erickb52 na bishanga

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,345
Nikiwa kama waziri wa majanga(pembe za ndovu) na maliasili ChitChat,Nimesikitishwa na kitendo cha wafanyabiashara wanaojiita mabilionea kung'ang'ania vitalu vya gesi iliyovumbuliwa katika nchi ya chitchat. Arushaone , Bishanga na Erickb52 wameonyesha kutokuwa wazalendo kwa kung'ang'ania kupewa vitalu ilhali pesa walizonazo zinatosha kwenda kwenye kilimo cha mbogamboga na matunda na juisi.
Napenda kuwakaribisha wawekezaji wenye ngozi nyeupe ( Heaven on Earth ) kwa maana hata ubongo wao ni mweupe namna hiyo.
Nilikuwa China kutembelea wawekezaji na kuwakaribisha kuwekeza katika gesi,nao hao wakubwa bila hiana wakakubali na tumewaahidi kuwapa mkataba wa miaka 100 cc Ben Saanane .mbali na hapo na wameahidi kutoa scholarship 12 kila mwaka kusomesha wananchi wa chitchat ukiwa ni mchango mkubwa sana,pia wameahidi kuja kusaidia miswaki laki tatu na kuipeleka vijijini chitchat kuwasaidia wananchi waweze kusafisha vinywa vyao CC; Filipo ,wametuahidi pia kutuletea magodoro millioni moja hiyo yote ni katika kuwasaidia wanachitchat kulala vizuri katika nchi yao.
Pia walitushauri tufute divisheni zero na kuweka divisheni five.na pia niliwabana sana kuhusu kutusaidia kuleta penseli kwa wanafunzi wa shule zetu za chitchat na walikubali kutoa msaada wa penseli elfu sitini.
Hayo ni mafanikio tunayojivunia na nchi yetu ya ChitChat
NGUMU iloweke chitchat
Ngumu ionekane chitchat
asanteni
mnyenyekevu waziri wenu Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Ndo madhara ya pombe za mchana haya.

mlevi-704x400.jpg

​
Jamaa mlevi kapoteza mali zoote na akawa maskini wa kutupwa sababu ya ulevi. Siku moja akapita karibu na jalala akaona chupa za bia.

Akashika ya kwanza akaipasua akasema: "kwa sababu yako nimeachana na mke wangu", akaipasua!

Ya pili: kwa sababu yako nimeshindwa kusomesha wanangu akapasua!

Ya tatu kwa hasira: "kwa sababu yako nimefukuzwa kazi",
akaipasua!

Ya nne: "kwa sababu yako nimeuza mali zangu zote hadi nimefilisika" akaipasua!

Akachukua ya tano akakuta haijafunguliwa imejaa bia, akasema: "we kaa pembeni, kwanza huu ugomvi haukuhusu,tutaongea baadaye inaelekea huna tabia mbaya kama wenzako!.
"

Kwema Chimbuvu?
 
Last edited by a moderator:
mlevi-704x400.jpg

​
Jamaa
mlevi kapoteza mali zoote na akawa maskini wa kutupwa sababu ya ulevi.
Siku moja akapita karibu na jalala akaona chupa za bia.

Akashika ya kwanza akaipasua akasema: "kwa sababu yako nimeachana na
mke wangu", akaipasua!

Ya pili: kwa sababu yako nimeshindwa kusomesha wanangu akapasua!

Ya tatu kwa hasira: "kwa sababu yako nimefukuzwa kazi",
akaipasua!

Ya nne: "kwa sababu yako nimeuza mali zangu zote hadi nimefilisika"
akaipasua!

Akachukua ya tano akakuta haijafunguliwa imejaa bia, akasema: "we kaa
pembeni, kwanza huu ugomvi haukuhusu,tutaongea baadaye inaelekea huna
tabia mbaya kama wenzako!.
"

Kwema Chimbuvu?

hahahaaa......... chezea DEAR GAMBE wewe.......!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa......... chezea DEAR GAMBE wewe.......!

Hahaha!!!

VERS 1;

Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe,
MI nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe,
MI ndugu yako nipe ukweli usini fumbe,
Uwepo wako karibu vp unafanya ni yumbe,
Kila muda kwene friji unajipoza,
MI domo zege nikisha kutumia natongoza,
Nalewa usiku kucha jua lina chomoza,
Nasindikiza na supu asuhi njema unaniongoza,
We ni nani unaiyendesha hi akili,

​

Nnikiwa na mawazo unanitoa stress nisifikili,
Ukiwa mezan chupa kadhaa sijiwezi,
Mpaka mtaani washa nipa jina jingine la mlevi,
Unafanya nafubaa mi mwenzako,
Hadi kazini naiba chapaa nije kwako,
Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,
Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako..

VERS 2;

Unafanya ndoa nyingi zinavunjika,
Hasi chanya we na msosi nikichanganya na tapika,
Aukatai kila mteja anae kuarika,
Unafurahi na ubaridi wa maji una chilizika,
Likitokea tatizo we ndo kimbilio,
Nakutinga nakua muongeaji bila mpangilio,
Nasahau kinga tamaa ndo kimbilio,
We ni funda la ziada unaniumbua mi mwenzio,
Unarainisha koo kifikla unani bembeleza,
Unani kontro sijasoma naongea hadi kingereza,
Usha niweza nani aliye kutengeneza,
Na nini aliwaza nawe ni mbaya kwa wasio jiweza,
Sa najinyea nanilikunywa kwa furaha,
Najikojolea unani athiri na ninatoa cha paa,
Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,
Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako..

VERS 3;

Dear gambe unanichanganya sana,
Unamajina mengi mpaka ya mbuga za wanyama,
Nashangaa,mengine yanatia kinyaa,
Mfano mzuri nigongo chimpumu hata cha ng"aa,
Kwenye ubongo umetawala kila secta,
Niukweri siwezi kua nawe bila pesa,
Watu wengine wana kula ada kisa wewe.
Unawafanya wanasahau ibada,
Na juzi juzi tu nimepata khabari,
Kuna mwana ulikua nae ameshapata ajaLI,
Dear gambe nikweli unanichosha,
Napenda kua nawe ila nyumbani mboga wanakosa,
Nawaza jinsi gani ntakuacha,
Mpaka wazalendo wa dini bahadhi kwako wame data,
Hakuna utata poa sasa najikata,
Kapuku nikizipata ntakufata...
​
 
Yani uliondoka na magari matatu ndo umerudi na hili moja tu,madai yako..TAMKO!

Haya bwana
 
i wanna know umenipa nini,
i don't know, sikuachi kwanini.

i wanna know umenipa nini,
i don't know sikuachi kwanini mpeeenzi!

DEAR GAMBE......... i don't know!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom