Neno la mwisho alilosema mchungaji ngwajima.

ESPIRIT

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
665
522
Baada ya kushuhudia sare nyingi za jesh alipokuwa anahojiwa alisema" majeshi,majeshi,majeshi' baada ya hapo akazimia,kakimbizwa TMJ
 
Nimesikia amefariki leo jioni, kama ni kweli poleni wafiwa.... RIP Gwajima
 
Baada ya kushuhudia sare nyingi za jesh alipokuwa anahojiwa alisema" majeshi,majeshi,majeshi' baada ya hapo akazimia,kakimbizwa TMJ

Majeshi yapi sasa ya malaika au misukule au Polisi....

Hawa wachungaji bhana wanamisemo mingi majukwaani
 
Attachments

  • 1427590311369.jpg
    1427590311369.jpg
    39.2 KB · Views: 1,404
Kufa atakufa na nchi ataiacha na haitakuwa ndogo kwani kabla hajaja nchi haikuwpo aende zake akakutane na majeshi YA shetani
 
Kazi ya Pengo bwana. Pengo acha kuloga, utaloga wangapi. Kama ni escrow pengo umepiga kupitia kwa kilaini ndiyo maana ume umut. Vyeo vya duniani havita kupeleka mbinguni. Pengo wewe ni mchawi na mnafiki hata maaskofu wenzio wa katoliki wanalijua hilo.
 
Hili ndo Mara ya kwanza kuliskia kutoka kwako, naamini ukiulizwa uthibitishe ulichokisema utazimia kama huyo Ndugu yako unayemwabudu......
 
Kazi ya Pengo bwana. Pengo acha kuloga, utaloga wangapi. Kama ni escrow pengo umepiga kupitia kwa kilaini ndiyo maana ume umut. Vyeo vya duniani havita kupeleka mbinguni. Pengo wewe ni mchawi na mnafiki hata maaskofu wenzio wa katoliki wanalijua hilo.

Jitahidi kutathimini unachoandika, mahala unapoandika, unaemuandika, uwezekano wa kukithibisha usije ukaingia kwenye mfumo utakao watia hasara wanaokutegemea.
 
Kazi ya Pengo bwana. Pengo acha kuloga, utaloga wangapi. Kama ni escrow pengo umepiga kupitia kwa kilaini ndiyo maana ume umut. Vyeo vya duniani havita kupeleka mbinguni. Pengo wewe ni mchawi na mnafiki hata maaskofu wenzio wa katoliki wanalijua hilo.

Na wewe tutakuombea ....tu .

Sasa Hao Malaika Gwajima aliowatuma wakampige Pengo ...hawakurudi ?

Unafikiri Maaskofu wetu wanajipa wenyewe Kama Huyo ....wanafunzwa Zaidi ya miaka 20 baada ya kuwa mapadri kabla ya kufikiriwa kupewa Uaskofu na miaka 10 Baada ya Uaskofu kabla ya kufikiria kuwapa ukardinali ...
Ni watu ambao wana uwezo wa kufanya ibada hata ya Siku 40 kujitafajari bila kuongea na mtu ....kabla ya kukata Shauri la kutumikia Mungu ...
 
Na ndio hao hao wanaozini na wanachuo pale SAUT na yule mwingine akakamatwa marekani kwa kufanya mapenzi na watoto.
 
Kazi ya Pengo bwana. Pengo acha kuloga, utaloga wangapi. Kama ni escrow pengo umepiga kupitia kwa kilaini ndiyo maana ume umut. Vyeo vya duniani havita kupeleka mbinguni. Pengo wewe ni mchawi na mnafiki hata maaskofu wenzio wa katoliki wanalijua hilo.

Cybercrime Act ni mbaya upande mmoja ila kwa mtu kama wewe bora Iwepo ili kuthibitisha haya....think the consequences of your act
 
Back
Top Bottom