Je unayakumbuka haya tuliyosoma zamani?

Je unayakumbuka haya tuliyosoma zamani?

Freedom tommorrow

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
1,795
Reaction score
1,132
Vijana wa sasa naweza kusema wamekosa hadithi na mafundisho mazuri kuliko yale tuliyopata sisi Zamani. Naomba leo niwakumbushe

1. KIBANGA AMPIGA MKOLONI
2. SIKU YA GULIO KATERERO
3.NDOTO ZA KIMWELI
4. CHILUNDA APAMBANA NA CHUI
5. PAMELA NA KAPINI
6. WATOTO WAGEUKA MAWE
7. SIZITAKI MBICHI HIZI
8. BROWN ASHIKA TAMA
9. LINDU AMUOKOA KAPILIMA
10 PEPE HUNA MASIKIO
11. SISIMIZI SHUJAA
12. JUMA NA ROZA
13. MANENGE NA MANDAWA
14. MAMBA NA KIMA
15. KARUDI BABA MMOJA
16. KULA SANA NI HASARA
17. MAFURIKO YA MTO RUFIJI

HADITHI HIZI ZILISAIDIA SANA KUTUJENGA KATIKA MAADILI MAZURI, AMA KWELI WADOGO ZETU WA SASA WAMEKOSA UHONDO
 
Nilivyoanza kusoma nimejiona kama mtoto vile dah nimekumbuka mbali sn
 
I'm glad ni mmoja wa waliyosoma vitabu hivyo vyenye akili shuleni...mwanangu hatapata bahati hii as long as wah*ni type za jk wanaongoza nchi!!!!!
 
Vijana wa sasa naweza kusema wamekosa hadithi na mafundisho mazuri kuliko yale tuliyopata sisi Zamani. Naomba leo niwakumbushe

1. KIBANGA AMPIGA MKOLONI
2. SIKU YA GULIO KATERERO
3.NDOTO ZA KIMWELI
4. CHILUNDA APAMBANA NA CHUI
5. PAMELA NA KAPINI
6. WATOTO WAGEUKA MAWE
7. SIZITAKI MBICHI HIZI
8. BROWN ASHIKA TAMA
9. LINDU AMUOKOA KAPILIMA
10 PEPE HUNA MASIKIO
11. SISIMIZI SHUJAA
12. JUMA NA ROZA
13. MANENGE NA MANDAWA
14. MAMBA NA KIMA
15. KARUDI BABA MMOJA
16. KULA SANA NI HASARA
17. MAFURIKO YA MTO RUFIJI

HADITHI HIZI ZILISAIDIA SANA KUTUJENGA KATIKA MAADILI MAZURI, AMA KWELI WADOGO ZETU WA SASA WAMEKOSA UHONDO
Nikiangalia list hiyo huwa najiuliza, hawa watoto wa siku hizi wanasoma nini? Maana huwezi kuwasikia hata wakizungumzia vitabu wanavyovisoma. Ni wazi haviana ladha wala mvuto na vitakuwa na ukakasi. Saa hivi elimu imekuwa biashara! Hicho cha Juma na Rose nakitafuta sana pamoja na kile cha HEKAYA ZA ABUNUASI
 
Kaka yangu anavyo bado hekaya za abunuwas, sindband baharia, alibaba na wezi arobaini na bulicheka na mkewe lizabeta hunikumbusha mbali sana hivyo vitabu
 
Heri yangu miye nilimalizia malizia na utamu wa hadithi za JUMA NA ULEDI,AWAFU,UTANIKUMBUKA,LA LA LAA,MACHAKU NA NJIWA NK Ila ukweli wadogo zetu siku ni shida,ndio maana hata vipaji kwao ni majanga tu.
 
Siku ya gulio Katelero, Hawafu mwenye nguvu, Mzee tola alia gizani, mkutano wa wanyama.
 
Chopeko na mnofu
Mpapai na mtete
Saa ya babu mzee
Sikulamba sukari
Utanikumbuka
Paa
Niliyataka mwenyewe
 
back in days very interesting swahili story books.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom