Operesheni Okoa/tafuta Bategereza

Operesheni Okoa/tafuta Bategereza

namwakalima

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
458
Reaction score
260
Wakuu habarini za wakati huu,

Nimeona ni vema na haki kulileta hili jambo kwenu, personally it has been long time tangu nimuone huyu jamaa humu jukwaani kwa mara ya mwisho.

Bategereza alikuwa au ni maarufu sana kwa uandishi wake na hasa akitumia lugha ya queen Eliza, huwa ni full vituko aina hii ya uandishi naiona kwa mbali kwa mkuu Pdiddy.

Tafadhali mwenye taarifa zaidi atujuze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom