SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Wandugu, shimo langu la mererani limetema vizuri sana wiki ilopita na kwa makadirio ya haraka
ntaambulia kiasi cha kama milioni 500.
Kiasi hicho pamoja na akiba niliyojiwekea, nadhamiria kuinunua JF.
Nina uhakika mazungumzo yangu kati ya Maxence Melo na Mike McKee yataenda vizuri
ili niuchukue mtandao kwa bil 1.6 hivi.
Natafuta operators (system admns) wa mtandao.Kuna employment forms naziandaa kwa wale wenye
sifa.Nawalenga watu kama akina Chief-Mkwawa, mwl rct, kadoda11.
Tuma pm tarehe 1/4/ kama utahitaji kuwa mmoja wa watenda kazi kwenye mtandao mpyautakaomilikiwa
na SHIEKA.

Last edited by a moderator: