Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,022
Na kumbuka kuanza darasa la kwanza full kulia wote!! Kila mtu anawaza kiporo cha home. Mnapimwa kwa kushikamaskio. Siku hizi wanapimwa kwa hela.
Hii Digital nomaaa!!
Zamani watu walitumia kuwika kwa kuku kutambua kumekucha au laa(refer Song of Lawino&Okol).
Hapa niliwahi kuamka saa 10 usiku kuwahi namba, duuh kumbe mbaramwezi. Ticha wa wazamu alikuwa hatare! Mama mmoja nilikutana nae akanirudisha home.
Na baadae kengere za Primary kwa kuanisha: ya kwanza ni saa12:30 na ya pili saa1 kamili. Hivyo huu muda ulikuwa wa kuamka.
Baadae utasikia Bendi hapa unajenga picha kichwani kuwa mwanangu ananyoosha mikono na kuvua viatu na kukaguliwa kucha za miguu, anakaguliwa kama amefua nguo zake, anakenua meno kumuonesha Mwl wa zamu, nk
Darasa la nne, hawa ndio mabingwa KALAMU YA WINO wao ndio wababe hadi la saba. Olewako ujidai kuwa baba yako kasoma sijui mjuaji Uandikie wino wa njano au kijani!!! Ha ha ha hapa hata kama majibu ni sahihi utakosa tu na bakora zisizo pungua 5!!
Yaani siku hizi hamna cha kengere wala nn!! Watoto unakutana nao muda wote kuanzia saa1 asubuhi hadi saa 2 usiku! Hata sielewi muda wa masomo ni upi!
Haya nawe elezea enzi hizo mdau!