Giambattista Vico
Senior Member
- Apr 3, 2015
- 106
- 24
Mlevi mmoja aliangua chini kutoka ghorofa ya tatu, walipokuja kumuuliza kulikoni yeye akajibu "Kwa kweli hata Mimi sielewi maana na mimi ndo nimefika sasaiv!!"
usiku mwema wakuu
usiku mwema wakuu