Natafuta Kiongozi au Mganga

Natafuta Kiongozi au Mganga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,734
Reaction score
128,240
Atakayeweza kuniombea kisawasawa au kunifanyia uganga wa kutosha ili tu baba mwenye nyumba yangu asahau kunidai kodi yake ya nyumba kwa kipindi chote hiki ninachokaa kwake na ikiwezekana kama vipi anirithishe na hii nyumba yake niliyopanga.

Naomba kuwasilisha.

Karibuni.
 
haaahaaa!!!! , kwa mganga wa kienyeji atakukubalia , lakini kwa mtumishi wa mungu ata deal na wewe kwanza utolewe pepo la kitapeli.
 
Hiyo hela ya kumpa mganga si heri umpe baba mwenye nyumba??

Nikimpa Baba Mwenye Nyumba Atazoea Na Kuzidi Kunidai Kila Muda Ukifika Hivyo Nataka ASAHAU MILELE KUNIDAI Hela Ya Kodi au Anirithishe!
 
toka nje kati ya saa saba na saa tisa usiku
ukiwa umeshika ungo nenda mpaka njia panda
tazama juu mwezi kama dakika moja bila kuondoa
macho katika mwezi
basi utajiwa na nguvu za ajabu katika
kila utakacho sema kitakuwa.
(zingatia maneno yanaumba )
halafu rudi nyumbani chukua sadaka mfano kuku
halafu ukamchinjie hapo
kabla ya kupambazuka.
 
Kuna Mtaalamu anataka million tatu kwa kazi ya kumsahaulisha kodi. Ukitaka akuachie nyumba anataka million 30
 
akili ya kivivu, jenga yako kisha uwaze hivi....hata hivyo yupo mmoja lakini sharti lake lazima atembee na mkeo kisha akutigo wewe.
 
Ngumu sana hata kama msukule sio kihivyo
 
Back
Top Bottom