lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
kila mtu humu jf atakubaliana nami kuwa tangia uanze kwenda kwenye mahotel au migahawa ya chakula hujawahi kukuta menu ya vyakula hivi CHIPS BATA,WALI BATA,UGALI BATA,MCHEMSHO WA BATA, UGALI BATA.kwa nini hakuna nyama ya bata! tatizo nini au haipatikani au siyo tamu kama ya kuku. au tumehamua kuwanyanyapaa bata katika matumbo yetu? tuwekane sawa karibuni