Kuna mwenye taaarifa zozote kuhusu ajali za kesho??

Kuna mwenye taaarifa zozote kuhusu ajali za kesho??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Embu tusaidiane jamani kama tunabet timu. ziko uingereza tunapata sembise ajali..hapahapa tz..Embuwaacheni tujuzane ajali ziko njiazawapi kwahili

usijemwana jf ukaombwa mchango wamsiba

Anynews tuwajuze. wenzetu. kamakugairi wagairi
 
pdid nimekukubali sana kuhusu swali au mada yako hii coz kuna watu ikitokea ajari ndiyo wanajidai eeti kusema oho sijui freemason sijui nn basi watuambie kabisa ajari ipi itatokea kesho, kesho kutwa na nk
 
Kuna mtu maarufu atakufa kwa ajari mbaya sana usiku wa leo.
 
Embu tusaidiane jamani kama tunabet timu. ziko uingereza tunapata sembise ajali..hapahapa tz..Embuwaacheni tujuzane ajali ziko njiazawapi kwahili

usijemwana jf ukaombwa mchango wamsiba

Anynews tuwajuze. wenzetu. kamakugairi wagairi

Wazo zuri lakin Kuna zinazoondoka na uhai wa watu ambao ni muhimu sana kwenye maisha ya watu wengine kwa mfano Wazazi..ingekua vema atlist uombe zipungue au kutotokea kabisa.
 
Niulizieni nandege wanaanzalini. maanahii. inabidi kuwapa contract maalum awajamaa wa majeneza anyway aajitayarishe
 
Tusiwazie ya kesho ikiwa ya badae atujui

Mpqae awajamaa wanaosababisha ajali wanajuakabisa kesho wanakulangapi nawapi... kunamtoto. nmoja. aliombewa kanisani akaanzaropoka amechinjasana enzi za tawffic alikuwa akimwongozadereva leonataka damuzawatu10...akasemaakambilia basimoja lamchagamwenzangu siwezitaja pale nohatari awakuwanachakujikinga wakipiga wanakulangapi nadereva...

Akasema maderevaq wengi wamabasi wanavituwameweka wanajilindanavyo wakikutajamaa. Yaanidreva mwepesi wanakulanadreva
 
jana ilikuwa njia ya mwanza leo njia ya moshi-arusha. kesho itakuwa njia ya mbeya-songea, jpili tunafunga na wamakonde
 
usiku huu serikali itapiga marufuku usafiri wa mabasi kwa hiyo kesho hakuna basi litakalosafili ila ndege ya serikali itaana kusomba watu ubungo.......na itakuwa ikitumia engine moja maana moja ya kushoto mbovu.......
 
yeuwiiiii niulizienjiaya arusha wanarudi lini napeleka gari wikiijayoq mpwa
 
Hivi ni kwa nini wengine mnaandika AJARI badala ya AJALI..........?........ni kwamba nyie sio wa kiswahili...........?.......
 
Niulizieni nandege wanaanzalini. maanahii. inabidi kuwapa contract maalum awajamaa wa majeneza anyway aajitayarishe

Mleu.......kunu leka.......tcha........mbaya sana......
 
Hivi ni kwa nini wengine mnaandika AJARI badala ya AJALI..........?........ni kwamba nyie sio wa kiswahili...........?.......

hujui wengine makabira yetu hayatambui utofaut wa r na l? au wamakonde mshawezea kutamka msumari badala ya nchumari?
 
Embu tusaidiane jamani kama tunabet timu. ziko uingereza tunapata sembise ajali..hapahapa tz..Embuwaacheni tujuzane ajali ziko njiazawapi kwahili

usijemwana jf ukaombwa mchango wamsiba

Anynews tuwajuze. wenzetu. kamakugairi wagairi

pdidy kweli umefikiria.
 
Si vema kufanya utani kwenye hili swala. Tuombe mungu na kuhamadishana kuwa makini hasa kwa madereva wa gari za abiria na askari waache kufikiria pesa waelimishe madereva
 
Embu tusaidiane jamani kama tunabet timu. ziko uingereza tunapata sembise ajali..hapahapa tz..Embuwaacheni tujuzane ajali ziko njiazawapi kwahili

usijemwana jf ukaombwa mchango wamsiba

Anynews tuwajuze. wenzetu. kamakugairi wagairi

Hilo sio la kufanyia mzaha mkuu, ujue kabisa lolote laweza kutokea kwako ucku huu.....kama sio ajali barabarani basi hata kuvamiwa
 
Back
Top Bottom