My God, ningelikuwa Rais oohooo

My God, ningelikuwa Rais oohooo

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,854
Yaani ghafla bin vuuup ndo nipate Uraisi kimiujiza miujiza vile,basi hili ndo lingekuwa baraza la mawaziri:
miss chagga =Waziri wa uchumi na biashara bila kusahau kitengo cha wajasiria mali.

mshana jr
=Waziri wa ulinzi,usalama,jeshi la polisi na kile kitengo kipya cha ulinzi.

mamaafacebook
=Waziri wa habari,utamaduni na kitengo kipya cha mila.

MziziMkavu
=Waziri wa kilimo,chakula,na ufugaji.

MO11
=Waziri wa siasa,ushirikiano wa kimataifa na mambo ya nje.

cute b
=Waziri mkuu msaidizi na naibu wa sheria na kanuni ndogo ndogo.

NDEO
=Waziri wa wazara mpya ya kuzuia na kupambana na starehe pamoja na kitendo maalumu cha kuzuia wala ujana na waponda raha.

Mawaziri wengine nitawatangaza baadae,sasa hivi umeme umekatika.

Kama wewe ungekuwa Raisi kimiujiza miujiza ungemteuwa nani kuwa Waziri.
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe.
 
Ndeo waziri wa starehe na wanawake
 
Wizara ya fedha itakuwa ya Idd Ninga , halaf wizara ile wa ya michezo itakuwa yake Matege .
Halafu kuna mtu anaitwa maasa dada eti kasema nisipo mteua lazima afanye mgomo kula.
 
Last edited by a moderator:
mamaafacebook nakupa hongera naona umempendelea mwenzako wizara ya kilimo ila mshana jr yeye anawizara ya ulinzi na alinambia nkimnyima hiyo wizara ataenda kuishi mwezini kama Lois amstrong.
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa Rais ntahamishia Ikulu kwetu.
 
Wizara ya nishati na madin itanifaa ...gesi itapatikana kila nyumba
 
Back
Top Bottom