Habari zenu ndugu,...
Inavyoonekana hapa kwetu Tanzania mahusiano ya vitu tajwa hapo juu ni makubwa mno, Je! Ni kawaida vitu hivi kwenda sambamba au ni mazoea yamepitiliza....
Mpendwa farkhina, natambua leo ni siku yako ya kuzaliwa na sina budi kutumia wasaa huu kukupa hongera kwa kuongeza umri na kukutakia yote yalio ya kheri katika kuadhimisha siku hii ya leo.
Mola...
Salaam,
Salamu ni moja ya jambo ambalo ni sehemu ya kumuheshimu yule uliyemuakia. Kuna salamu.za kilugha, mambo vipi, shikamoo, habari gani?
Lakini kuna hii salamu ya "heshima yako" binafsi...
Toka tunakuwa tunasikia huu msemo fulani na fulani ni chui na paka yaani hawapatani. Sasa kutopatana kwao kuna uhusiano gani wa kusema chui na paka? Kwani kuna nini kati ya chui na paka?
Kwakweli serekali ya Tanzania ijaonesha action yoyote ile kwa jambo south Africa wanafanya kupiga wageni huku kweli wanapewa hesma kubwa. Sijui niuwoga au.
Wadau
Ukiwauliza watoto wengi ambao wameshajitambua kiasi kwamba watakapokuwa wakubwa wanataka kuwa nani.....wengi utasikia wakisema wanataka kuwa manadaktari,mainjinia,rais........nk na ni nadra...
Je kauli ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka Leo kutoka kwa viongozi wetu:
1: kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (Mramba)
2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (jk)
3. Acheni wivu wa kike...
UTAJUAJE WEWE NI MZEE???
- Kama unajua ulifanya Science ikiwa na Agriculture, na GHCRE... Wewe ni mhenga.
- Kama ulicheki tv ukajua Inspekta Mwala ako na brother anaitwa Likobe... Tafadhali...
TATIZO WASOMI MNATUMIA AKILI
NYINGI KWENYE JAMBO DOGO.
Ona hii
Msomi mmoja mwenye PhD pamoja na
kijana mmoja ambaye hakubahatika
kusoma walisafiri pamoja kwenda
kutembelea mbuga moja maarufu yenye...
Cna yuo raed tihs? Olny 55 plepoe out of 100 can.
>
> i cdnuolt blveiee taht I cluod aulaclty uesdnatnrd
> waht I was rdanieg.
>
> The phaonmneal pweor of the hmuan mnid, aoccdrnig
> to a...
Wakuu habari zenu,
kwa muda mrefu sasa nimekuwa na bahati mbaya katika kupata mpenzi wa kike, nahisi ni ishu ya udomozege maana mimi sio muongeaji sana, ni mtu ambae kwakwel napenda kuongea ukwel...
Nchi Nikimaanisha Kuanzia Rais, Makamu Wake, Waziri Mkuu, Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu Wa Mikoa Na Wakuu Wa Wilaya Kuwa Na Wake Wawili Ambao Pia Wanatambuliwa Na Serikali Siyo MZIGO Mkubwa Kwa...
Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wengine....naomba kusema wazi tummiss miss chagga humu
Najua yuko ban
Lakini mashabiki wake wa humu tunamkosa
Tunamuombea msamaha kwa mods...Tafadhali...
Jamani kwa nini ukilala usiku huku umekunja miguu yote ndotoni ukiota unakimbizwa na majamaa au kitu chochote utajikuta unakosa spidi na kukamatwa haraka lakini ukilala uku umenyoosha miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.