chiNeSe woMan
燽倓痰翥奎畇祓郪祓戉嬼十木戈$錟川流不息的...
Jaman washkadau,
Kati ya wale watoto wawili wa bwana mkubwa wa Dunia ambae akienda sehemu hadi barabara za vumbi zinadekiwa, nimempenda yule mkubwa yaani nimemwelewa yupo vizuri kama Mnyarwanda...
Teacher:Name the types of gases you know.
Moha:Nitrogen gas
Lilian:Oxygen gas
Me:Tear gas
Teacher:visibly angry,"I am giving you one minute to give me a correct answer.
Me:(thinking hard and...
Yeyote kama yumo ndani ya jamvi aliyesoma kipindi hicho au hivi karibuni atujuze matokeo na maendeleo kwa ujumla.
Kipindi cha 1990, tulikuwa 25 tuliofanya mtihani wa taifa wa IV. Je miliofuatia...
Tunatangaza kifo cha Steven Pius Mallya kilichotokea usiku wa kuamkia tar 15 Mei 2015, maziko yatafanyika tar 19 Mei 2015 nyumbani kwake Kibosho Maua Kati, habari ziwafikie ndugu, jamaa na...
Siku moja majambazi yamevamia nyumbani kwako,
Baada ya kuchukuwa kila walichukuwa wanakihitaji wakakupatia bunduki ili umuue mkeo.
Kwaharaka ukapiga magoti kwa unyenyekevu ukiwasihi wakuwie...
Wakuu habari,
...nina cmu yangu tajwa hapo juu ila ina tatizo la internet, kwamba inaconnect vzur 3G kabisa ila nkianza kutumia tu inanambia 'no internet connection', hata nkiconnect wi-fi...
wakuu imetokea ngarenaro jana mchana mchaga alidumbukia kisimani sasa akaja jamaa moja mpare na kamba ndefu kumsaidia kwa kumtupia kamba kisimani ili amvute juu,maongezi yakawa hivi,JAMAA...
"Mwenda tezi na omo marejeo ngamani"
Wapendwa wanachitchat, kama kuna mtu anayeuamini msemo huo hapo juu, ni mimi.
Mwezi june 2012 nilifanya urafiki na mwanamama mmoja hapa jf lakini April 2013...
Habari zenu waungwana wa Chit chat,
Leo naomba niwaeleze hisia zangu jinsi mjanja fulani alivyoniingizwa choo cha kike hapa jf.Baada ya kujiunga na jf mwezi desemba 2011,nikitumia id ya HYGEIA...
Salaam wakuu, katika jina la Muumba.
Mabibi na mabwana leo ni siku yangu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu.
Najitakia maisha mema na heri ya baraka tele.
Asanteni nawasilisha
Nashukuru mungu sana.
Baada ya kuacha mambo yangu yalikuwa hovyo sana, pamoja na kutumia fedha vibaya lakini baada ya kuanza kulipuka daah im feel so peacefull and blessed.
Shukrani.
Hii tabia inanisikitisha inanisononesha inaniumiza na zaidi inanihuzunisha, unakuta mtu anakufata pm mnachonga unarusha ndoano badala ya kukupa jibu huyo anatokomea kusikojulikana baada ya siku...
Dada zetu wahudumu wa bar kwanini mteja wa kiume akija kunywa bar peke yake mnamchangamkia kwa bashasha uchangamfu kibao lakini mteja huyo huyo akija tena kunywa na mke wake mnanuna na kukunja...
Hizi ni njia mpya za wanawake facebook/WhatsApp:
1. kutafuta mwanaume/wanaume,
2. kuona wanaume gani wanafuatilia mambo yake na wanavutiwa naye,
3. kwa wanawake walioolewa kutangaza kuwa ndoa...
1.Kama tunatakiwa tusi-drive tukiwa tumelewa kwanini bar kuna parking?
2.Kama tunatakiwa tu-sex ndani ya ndoa kwanini tunabaleghe kabla ya kufunga ndoa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.