nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,093 Reaction score 15,209 May 25, 2015 #1 Lazima utapiga ukeleletu. Maana yangu ni kwamba mgongo wa kuku wa kienyeji ukiwa mkavu kwa ugali wa dona.:becky:
Lazima utapiga ukeleletu. Maana yangu ni kwamba mgongo wa kuku wa kienyeji ukiwa mkavu kwa ugali wa dona.:becky:
Cardinal06 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2015 Posts 963 Reaction score 327 May 25, 2015 #2 Hahahahah mzee wa migongo.....sasa ukienda hotelini unaagiza migongo tu au inakuwaje
pepsin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 3,487 Reaction score 6,172 May 25, 2015 #3 Mgongo wa perege?