lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Dada zetu wahudumu wa bar kwanini mteja wa kiume akija kunywa bar peke yake mnamchangamkia kwa bashasha uchangamfu kibao lakini mteja huyo huyo akija tena kunywa na mke wake mnanuna na kukunja uso muda wote?
Eti wakuu kama kuna mwenye uelewa zaidi atujuze please,wahudumu muwe honest.
Eti wakuu kama kuna mwenye uelewa zaidi atujuze please,wahudumu muwe honest.