matengongolo
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 305
- 104
Salaam wakuu, katika jina la Muumba.
Mabibi na mabwana leo ni siku yangu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu.
Najitakia maisha mema na heri ya baraka tele.
Asanteni nawasilisha