Tanzia: Tunatangaza kifo cha ndugu yetu

Tanzia: Tunatangaza kifo cha ndugu yetu

MrIsidori

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
191
Reaction score
83
Tunatangaza kifo cha Steven Pius Mallya kilichotokea usiku wa kuamkia tar 15 Mei 2015, maziko yatafanyika tar 19 Mei 2015 nyumbani kwake Kibosho Maua Kati, habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote! Amen
 
mbona huyo mtu hafahamiki hapa mkuu hebu lete id yake anayotumia hapa tujue basi
maana uko yumkiniki hapa
 
Je, huyo alikuwa mwanajf? Alikuwa anatumia id gani? Poleni sana wote wanaohusika na msiba huu!
 
kama uko serious poleni ila kama sivyo umenikumbusha Enzi zile radio one matangazo ya vifo wengi ni wachagga ha ha ha ha ha ha aaa
 
Back
Top Bottom