Bushrah
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 413
- 791
Kichaa mmoja aliamua kupiga simu hospitali na ilikua kama hv,
kichaa:haloo,samanahani.chumba namba 27 kina mtu?
Muuguzi:subiri ngoja nikaangalie.
Kichaa:😛pouwa.
Muuguzi:hakuna mtu.....kwa nini umeuliza?
Kichaa:nilitaka kuhakikisha kama bado nipo au nimetoroka!
Hahahahahahaaaa!