Makundi matatu ya wanawake facebook/WhatsApp

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Hizi ni njia mpya za wanawake facebook/WhatsApp:

1. kutafuta mwanaume/wanaume,

2. kuona wanaume gani wanafuatilia mambo yake na wanavutiwa naye,

3. kwa wanawake walioolewa kutangaza kuwa ndoa zao sasa hazilipi tena, hasa kutokana na kukosekana maelewano na amani.

Tuangalie kundi moja baada ya lingine

1. Wasichana/wanawake wanaotafuta wanaume

(i) Wana tabia ya kupost (facebook) picha zao nyingi sana kwenye wall zao zinazowahusu wao au kubadilisha profile pictures kila baada ya muda kidogo. Hujitahidi kuchagua mapozi na mazingira ya kuvutia ya picha

(ii) Katika picha wanazoweka, mara zote wataonyesha wako single. Picha zao nyingi ikitokea kuna tofauti na za kwao binafsi, itakuwa aidha ni ya kaka, dada, mama, shangazi, familia, au rafiki yake wa kike ( facebook, mara nyingi wanakuwa pamoja, WhatsApp anaweka picha ya rafiki yake halafu labda na jina status "my friend, leyla") n.k.. Ikitokea wameweka picha za wanaume "huzilabel" ili zisilete utata, mfano

"My lovely bro"

(iii) Wana tabia ya kuandika/kupost maneno yanayoashiria amani na upendo, mfano

"love u all mafriendz"

"Goodmorning friendz"

"Miss u all"

"Usiku mwema wapendwa"

(iv) Hunyong'onyea sana ukiweka negative comment kwenye posts/picha zao na hulifikiria hilo swala na kuliweka moyoni kwa muda mrefu, hasa kama comment inahusiana na uzuri.

((v) Hujaribu kuonyesha kuwa wapo smart "but in most cases they are stupid"

(vi) Hulogin facebook/WhatsApp kila baada ya sekunde chache kuangalia comments, likes, na profile picha za watu, hasa za wanaume/wavulana, na baadhi ya wanawake hasa waliosoma au kufanya nao kazi ili kuangalia status zao za mahusiano. Kimsingi wanashinda WhatsApp au facebook

(vii) Hujaribu kuonyesha "polite" response na "appreciation" kwa kila positive comment tena kwa kutaja jina la mhusika, huku wakiacha negative au neutral comments zinahang tu.

(viii) Huchat na wanaume wengi kwa wakati mmoja, hata 20, kama humvutii message yako itakuja kujibiwa baada ya plans zingine kugoma, yaani baadaye sana, hata mwezi wa Tisa huko.

(ix) Katika mazungumzo (chat) yao hujifanya wanajali (kama wewe ni mwanaume) sana na kukupa ushauri mzuri

(x) Makusudio ya mahusiano huanza na dear (Usijipe kichwa na PM za jf zenye dear, utaibiwa mchana unaona) kama title wakati wa kuchat, kama amevutiwa na wewe

(xi) Atazima ghafla na kuacha mazoea ya kuchat na wewe anapokuwa amepata haramia la mapenzi na atakuibukia baadaye baada ya kujikuta alitapeliwa

Kwa ujumla, wako "Desperate", na mahusiano. Huingia mikenge ya kufa mtu maana wanaume wanaowahook ni mamafia/mahooligans wa mapenzi.

Once they come back to faceebook/WhatsApp after they have lost fake love, mamazao, they are very different, upset, stressed and used.

Nitaendelea na kundi la pili na la tatu.

Copyleft LifeHacker
 
Hizi ni njia mpya za wanawake facebook/WhatsApp:

1. kutafuta mwanaume/wanaume,

2. kuona wanaume gani wanafuatilia mambo yake na wanavutiwa naye,

3. kwa wanawake walioolewa kutangaza kuwa ndoa zao sasa hazilipi tena, hasa kutokana na kukosekana maelewano na amani.

Tuangalie kundi moja baada ya lingine

1. Wasichana/wanawake wanaotafuta wanaume

(i) Wana tabia ya kupost (facebook) picha zao nyingi sana kwenye wall zao zinazowahusu wao au kubadilisha profile pictures kila baada ya muda kidogo. Hujitahidi kuchagua mapozi na mazingira ya kuvutia ya picha

(ii) Katika picha wanazoweka, mara zote wataonyesha wako single. Picha zao nyingi ikitokea kuna tofauti na za kwao binafsi, itakuwa aidha ni ya kaka, dada, mama, shangazi, familia, au rafiki yake wa kike ( facebook, mara nyingi wanakuwa pamoja, WhatsApp anaweka picha ya rafiki yake halafu labda na jina status "my friend, leyla") n.k.. Ikitokea wameweka picha za wanaume "huzilabel" ili zisilete utata, mfano

"My lovely bro"

(iii) Wana tabia ya kuandika/kupost maneno yanayoashiria amani na upendo, mfano

"love u all mafriendz"

"Goodmorning friendz"

"Miss u all"

"Usiku mwema wapendwa"

(iv) Hunyong'onyea sana ukiweka negative comment kwenye posts/picha zao na hulifikiria hilo swala na kuliweka moyoni kwa muda mrefu, hasa kama comment inahusiana na uzuri.

((v) Hujaribu kuonyesha kuwa wapo smart "but in most cases they are stupid"

(vi) Hulogin facebook/WhatsApp kila baada ya sekunde chache kuangalia comments, likes, na profile picha za watu, hasa za wanaume/wavulana, na baadhi ya wanawake hasa waliosoma au kufanya nao kazi ili kuangalia status zao za mahusiano. Kimsingi wanashinda WhatsApp au facebook

(vii) Hujaribu kuonyesha "polite" response na "appreciation" kwa kila positive comment tena kwa kutaja jina la mhusika, huku wakiacha negative au neutral comments zinahang tu.

(viii) Huchat na wanaume wengi kwa wakati mmoja, hata 20, kama humvutii message yako itakuja kujibiwa baada ya plans zingine kugoma, yaani baadaye sana, hata mwezi wa Tisa huko.

(ix) Katika mazungumzo (chat) yao hujifanya wanajali (kama wewe ni mwanaume) sana na kukupa ushauri mzuri

(x) Makusudio ya mahusiano huanza na dear (Usijipiche kichwa na PM za jf zenye dear, utaibiwa mchana unaona) kama title wakati wa kuchat, kama amevutiwa na wewe

(xi) Atazima ghafla na kuacha mazoea ya kuchat na wewe anapokuwa amepata haramia la mapenzi na atakuibukia baadaye baada ya kujikuta alitapeliwa

Kwa ujumla, wako "Desperate", na mahusiano. Huangalia mikenge ya kufa mtu maana wanaume wanaowahook ni mamafia/mahooligans wa mapenzi.

Once they come back to faceebook/WhatsApp after they have lost fake love, mamazao, they are very different, upset, stressed and used.

Nitaendelea na kundi la pili na la tatu.

Copyleft LifeHacker

Nimecheka sana!
Lete hayo makundi mengine mkuu
 
Alieleta ivi visimu vinavyosapoti wasapu sijui nani?
Maana ata kwenye magari wanawake wapo bize kubofya tu awajali wamesimama au wamekaa.
Yaani ni shida
 
Back
Top Bottom