JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeongea na Madame B usiku huu anasumbuliwa Maleria siku ya tatu sasa. Tumuombee Mungu apate kumponya.
9 Reactions
95 Replies
11K Views
John Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu. Mara ile ile akaguswa begani na...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyuki akumbatiwi
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Hivi umeshawahi kukaa na kufikiri miaka michache ijayo mambo yatakuwaje? Hebu kwa mfano mwaka 2022 twaweza shuhudia yafuatayo hapa Tanzania. 1. Wakati huo dawa ya ukimwi ishapatikana, mtu...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nimeletewa hii kwenye simu yangu ni bora na nyie mkaburudike wanajamvi: Sick woman was lying on her sickbed with her husband by her side, she turns to her husband and started apologetic...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu dogo ni boonge la comedian ukilinganisha na age yake...mcheck @ Noah's Interview/Ellen show YouTube
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sijui watu hawajui kuwa ukibipu mara moja inatosha mtu kuona na kukupigia akipata nafasi? Pia nahisi mtu akibipu huwa anaendelea kubipu mfululizo ndio maana simu yake inakuwa bize muda wote baada...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Team Kupanga. Jamaa analala yeye na mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake wacha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Member w Kwa mujibu wa aliyenipa taarifa ni kwamba wamepata majeraha machache na wanashukuru wapo hai. Chanzo ni Lori kuhama upande
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari Nilizozipata Hivi Punde Zinasema Mwenyekiti Wa Chadema Taifa Mh.Freeman Mbowe Hayupo Hai (jimboni) Tena Na Yupo Jijini Dar Es Salaam Akiendelea Na Shughuli Za Kiofisi
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Lizzy charminglady afrodenzi Kongosho Mwali snowhite The Finest Mr.Rocky figganigga Madame B Mamndenyi Russian Roulette Smile Preta Bishanga FaizaFoxy Bujibuji AshaDii na wale wote...
10 Reactions
111 Replies
9K Views
~
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana katika pitapita zangu nimekutana na staff bus yenye maandishi yafuatayo. "RIJK ZWAAN Q-SEM" ukibadilisha hayo maandishi yasomeke "JK RIZWAAN Q-SEM" basi unaweza kuhisi hii kampuni...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Duh!...............
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wadau, napiga picha jinsi nowadays akina Dada wanavoonyesha mashepu yao tofauti na zaman, utakuta mdada kavaa vitenge vinne, kimoja kiunoni, kikingine kifuani na kingine chini kidogo ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Dear all Tanzanians, As a Tanzanian am proud to have achieved another milestone...The Tanzanian Shilling is now equal to more than 2000 to 1 US$!!!! Congratulations to all of us Tanzanians for...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Masawe is on his deathbed and knows the end is near. The nurse, his wife, his daughter and 2 sons, are with him. He asks for 2 witnesses to be present to record his last wishes, and when all is...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kwa kutambua umuhimu wa siku hii, napenda nimpongeze Mkuu ladyfurahia kwa kuzaliwa siku kama ya leo, Bwana akupe maisha marefu yenye baraka tele katika maisha yako. Tushirikiane kupongezana...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Zifuatazo ni tarehe muhimu sana katika kipindi kijacho kuanzia sasa hivi. Kuna matukio makubwa yatatokea duniani na katika maisha ya mtu binafsi. Matukio hayo yanatafsiriwa kuwa ni mwanzo mpya...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom