Welcome Back My Emerald Erotica!

Welcome Back My Emerald Erotica!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
"Mwenda tezi na omo marejeo ngamani"
Wapendwa wanachitchat, kama kuna mtu anayeuamini msemo huo hapo juu, ni mimi.
Mwezi june 2012 nilifanya urafiki na mwanamama mmoja hapa jf lakini April 2013 akatoweka ghafla.Nililalama sana juuu ya kutoweka kwake mpaka nikamshuku memba mmoja hapa Boflo kuhusika na kupotea kwa emerald wangu Erotica.
Muda ulivozidi kwenda ndivyo nilivozidi kusononeka kwa kumkosa rafiki yangu hapa jf.Lakini Mungu bariki, kwa kuwa tunasafiri kwenye chombo, mtu ataenda wapi kwingine bila kurudi ngamani? Na exactly hicho ndo kilichotokea kwa Erotica kwani karejea jf! Navyoshangilia, navyofurahi! Welcome back my shining emerald! Kaunga na Elizabeth Dominick, tuandae kisherehe kidogo to welcome back a lost soul. afrodenzi please naomba upambe ujio wa Erotica.

Thanks all chitchatters for your prayers!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom