lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
wakuu imetokea ngarenaro jana mchana mchaga alidumbukia kisimani sasa akaja jamaa moja mpare na kamba ndefu kumsaidia kwa kumtupia kamba kisimani ili amvute juu,maongezi yakawa hivi,JAMAA MPARE:"hallow kimario pokea kamba nikutoe nje ya kisima" MCHAGA:"asante sana chaliii yangu hila nikuulize hiyo kamba umenunua duka gani?"JAMAA MPARE"nimenunua pale dukani kwa msukuma" MCHAGA "Yeuwiii babangu si ungenunua pale dukani kwangu kamba zangu ni nzuri aiseee,umekosea sana babanguuu" mchaga badala ya kujali usalama wake atolewe kisimani alianza kufikiria biashara ya dukani kwake, ilibidi jamaa amtoe nje kwa kamba ile ile. chezea pesa weye