kuna mgombea wa chama tawala alienda dodoma kuomba kura ya kuwa raisi mambo yakawa ivi
mgombea:wananchi oyeeee.
wananchi:oyeeeh
mgombea:mkinichagua nitawatengenezea daraja,
wananchi:lakini sisi...
Wadau,
Mtakumbuka kipindi cha hapo nyuma kidogo ilikuwa kila mwanamke anayepiga picha basi lazima ajibinue nyuma atuonyeshe alilozawadiwa na Mungu.
Lakini hivi sasa habari ya mjini ni selfie tu...
Hivi kama ikitokea mahala popote duniani kwamba Amiri jeshi anamshauri mkuu wa majeshi aende kusoma, halafu mkuu wa majeshi anakataa kwamba hahitaji kusoma. Halafu amiri jeshi yule yule anamshauri...
Hi Wana JF,
Nina muheshimu mwanamke mwenye mimba, kwani ni mtu pekee mwenye ujasiri wa kitembea hadharani with clear evidence that she had sex!!! Respect sana!!!
Vichapo vinapishana viwango.
Kuna vichapo vya kawaida, vya kati na kichapo Kikuu cha hali ya juu.
Mtu akipewa kichapo kikuu lazima atapiga mayowe kama;-
"Mama nimekomaa"
"Mama Nakufaa"
"Uwii...
kipindi hiko ITV ilikuwa kituo kizuri sana walikuwa na vipindi vizuri vilivyosisimua watazamaji wake. Mfano, kwenye filamu kulikuwa na filamu kama vile Rino rens jamaa alikuwa na anapenda sana...
Habari wakuu,
Kuna mdada mmoja muigizaji wa Bongo movie anaitwa batuli nimetokea kumpenda sana kila siku napenda kuangalia movie zake huwa natamani sana kukutana nae, nikiangalia tabasamu lake...
Nimebahatika kuwa karibu na hawa jamaa toka Pemba nilichogundua wengi hawana vichogo,kuna mmoja alidai wakizaliwa huwa wanakandamizwa kichogoni kwa nguvu sijui ni kweli au la.
Kama ni kweli...
wahaya mjifunze kiswahili vizuri la sivyo mtasababisha sintofahamu bure! Sasa huyu mama mzazi kafikiwa na wageni nyumbani kwa mwanae Caroli. Wageni wanamuulizia Caroli.
Mama: Ooh! caroli ameenda...
Najua tishu inatumika kusafisha chupa au glass,lakini naona wadada hapa kila wakati tishu,tishu,tishu.!
Nanunua tishu mpaka nataka kukatika mtaji,huwa wanazitaka za nini?
Au wana nia ya...
Kuna kamtindo kameingia siku hizi, mtu ana comment halafu anasema "nalog off", na kibaya zaidi unaendelea kumuona online.
Hivi mnaposema "nalog off" mnakuwa mnakwepa maswali au ndio ubitozi wenu...
habar zenu watanzania katika safu ya jf,
napenda kuwashirikisha jambo hili,naomba mtoapo maoni mfikilie vyema ili mnipatie mchango mzuri wa kimawazo ktk hili,nimegundua kitu kimoja tangu nimeanza...
Jaman ndugu zangu mwenzenu nikonjiapanda mpaka sasa. cjui niende kuangalia mechi ya arsenal na chelsea au nikamsikilize mh Lowassa.
ebu nishaurini jaman...
Ni vile anavyopunga mkono taratibu ofisini kwetu yawa salaam rasmi baina ya wapenda mabadiliko, alianza mkurugenzi sasa imekua rasmi, yaani ukiingia unapunga tartiiibu hadi raha.