youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Wadau mi nimeishiwa hela, na sioni dalili ya kupata hela so nauza Choo mi ntakuwa naenda kujisaidia hata kwa jirani.
Tuwekee wasifu wako
Wadau mi nimeishiwa hela, na sioni dalili ya kupata hela so nauza Choo mi ntakuwa naenda kujisaidia hata kwa jirani.
Kiwe na heater au ac nitakinunua
Duh kwn kipo karbu na stend au?
duh! hapo nimechemka kaka.