Kwanini ndugu zetu wapemba hawana vichogo?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,328
Reaction score
56,077
Nimebahatika kuwa karibu na hawa jamaa toka Pemba nilichogundua wengi hawana vichogo,kuna mmoja alidai wakizaliwa huwa wanakandamizwa kichogoni kwa nguvu sijui ni kweli au la.

Kama ni kweli hatuoni kuwa wana disturb modulo oblangata ambayo inawafanya wawe na uwezo tofauti wa kufikiri,kwa sababu nilichojifunza kwao ni kwamba ukikuta Mpemba ana akili anakuwa na akili sana na ukikuta kilaza ni kilaza kweli kweli,hakuna wapemba wenye akili za average ,ni either genius or kilaza.

Mnaotokea pemba hebu tupeni majibu
 
Wanalazwa chali wakiwa wachanga, jaribu kwa mwanao uone japo wengine njia hii haisaidii
 
nimebahatika kuwa karibu na hawa jamaa toka pemba nilichogundua wengi hawana vichogo,kkuna mmpja alidai wakizaliwa huwa wanakandamizwa kichogoni kwa nguvu sijui ni kweli au la,kama ni kweli hatuoni kuwa wana disturb modulo oblangata ambayo inawafanya wawe na uwezo tofauti wa kufikiri,kwa sababu nilichojifunza kwao ni kwamba ukikuta mpemba ana akili anakuwa na akili sana na ukikuta kilaza ni kilaza kweli kweli,hakuna wapemba wenye akili za average ,ni either genius or kilaza ,mnaotokea pemba hebu tupeni majibu

Mi nmependa hapo tu uliposema kuwa "akiwa hana akili huwa anakuwa hana akili kweli kweli ila akiwa ana akili basi huwa genius !"
 
Kwa kawaida kichogoni ndipo kwenye medula oblangata. Sasa kunapokua hakuna kichogo,medula oblangata huwa ina nafasi ndogo-limited space-hivyo ubongo nao huwa mdogo. Hiyo huchangia uwezo wa akili pia kuwa mdogo. Kumbuka tafiti za kisayansi zasema kadri ubongo unavyokua mkubwa ndio uwezo wa kiakili huwa mkubwa. Nimejibu kisayansi zaidi.
 
Don't tell me wenye vichogo ndio wanafikiri sana.…
 
Hahahahah,aisee nimecheka mpaka basi,

Unajua JF kuna post mtu anaweka,ukianza kusoma kwanza unakasirika kidogo halafu baada ukitulia kuzisoma unacheka mpaka basi.
Maudhi kidogo burudani kubwa

Sidhani kama mtu anaweza ku react vibaya juu ya mleta maada,maana ametupumzisha kwa muda ili tucheke na sio kuwa na stresses za kisiasa ambazo mwisho wa siku zinaleta Ugonjwa wa Moyo,maana wataalam wanasema kwamba Mawazo mstuko siku zote hufanya valvle za moyo kulegea na athari kuiona at age of 40+.Sasa napenda kuamini hilo ili niwe salama

Asante mleta uzi,maana kuna Mpemba asili hapa nimempa kusoma amecheka mpaka basi,nikajua atakasirika,lakini amesema hawezi kukasirika maana haya watu wa Bara tunawaita Machogo,ukisia ahhh yule Chogo au yule Mnyamwezi,basi unajua from Bara huyo.
 
Nimebahatika kuwa karibu na hawa jamaa toka Pemba nilichogundua wengi hawana vichogo,kuna mmoja alidai wakizaliwa huwa wanakandamizwa kichogoni kwa nguvu sijui ni kweli au la.

Kama ni kweli hatuoni kuwa wana disturb modulo oblangata ambayo inawafanya wawe na uwezo tofauti wa kufikiri,kwa sababu nilichojifunza kwao ni kwamba ukikuta Mpemba ana akili anakuwa na akili sana na ukikuta kilaza ni kilaza kweli kweli,hakuna wapemba wenye akili za average ,ni either genius or kilaza.

Mnaotokea pemba hebu tupeni majibu

da farkhina njoo tumjibu mbara huku
 
Ushansoma.
 
kusudi bharghashia ipate kuwa fitted kichwani kama una chogo haiwezi kukaa mkao unaotakiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom