wahaya mjifunze kiswahili fasaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wahaya mjifunze kiswahili fasaha

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Raia Fulani, Dec 3, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wahaya mjifunze kiswahili vizuri la sivyo mtasababisha sintofahamu bure! Sasa huyu mama mzazi kafikiwa na wageni nyumbani kwa mwanae Caroli. Wageni wanamuulizia Caroli.
  Mama: Ooh! caroli ameenda kuuza mugongo barabarani
  wageni ikabidi waitane kando kujadili kauli ya mama Caroli. Caroli kawaje tena? Mwisho wa siku wakagundua kuwa Caroli kaenda kuuza mihogo. Wahaya...!
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  duuuuuuuuu, kumbe ndo maana yake hiyo. Kuna wakati inabidi mtu uwe unatafakari kidogo kabla ya kujibu mambo
   
 3. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  kuna mwalimu wetu mmoja nikiwa nasoma sangu sekondari alikuwa anasema "duringa last period we were discussinga about.........."
  yaani kina kyaruzi bwana!!
   
 4. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red wahaya hawana neno kama hilo labda watu wa Musoma.Lakini ngoja aje wenyewe Ta Muganinyizi,Byabato,Karumuna,Mchunguzi ,Mulokozi na wengine wengi ....Wahaya mpoooo..
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mugongo si neno la kilugha ndugu. Bali lafudhi nzito za wahaya. Mama kashinndwa kutamka muhogo
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sie enzi hizo tilikuwa na mwalimu wa jografia alikuwa akitamka switisiland
   
 7. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Muzee Mwita mengangania ngombe mbaka ameondoka nawo!!!! Nshaba tugenge waitu
   
 8. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Na hawa watani wao yaani Wakurya wana yao, hawawezi kutamka neno "ji" wao hutamka "chi" badala yake. Siku moja pale Mzumbe High School kulitokea mgomo baada ya wanafunzi kugundua uji waliopikiwa ni mbichi. Mpishi alikuwa ni bibi mmoja wa Kikurya alipoitwa aliulizwa kwanini amepika uji mbichi alikuwa na haya ya kusema. """Kwa kweli Mwalimu mimi nimewagawia uchi ukiwa wa umeiva na wamoto kabisa nashangaa wanasema eti uchi umepoa""" Mgomo uliishia hapo kwani vicheko vililipuka kama bomu kila mmoja akaelekea darasani bila kuaga.
   
 9. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  of cos kama munataka kuharibiana PR in Public semeni. Maana mulokozi mukandara wanajua how sisi wahaya we are very important people in this country. hata ukienda katika kandanda Mtu kama Makumbi very fantastic player. A tela nambe ibhili, atela namba namba 4, atela namba munana na of cos namba seve. if there is moving 'hair' means AIR in a cylinder the compressed hair will be hot, so when ignited will explode!! hehhehhhhhe Kigwa huyo mwalimu wa MV mechanics!!!!!
   
 10. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Maarifa umenimaliza
   
 11. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  waitu oshabe mushamaa yu know actually bijustbcoz,kusema sijui biswahili ni kama kungambira stupidi infuronti ovu mai waifu....while sisi wahaya tumesoma sana hata kiingereza tunakijua sembuse kiswahili....
   
 12. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh !?
   
 13. Okuberwa

  Okuberwa Member

  #13
  Nov 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hakuna neno kama hilo (red hapo juu)
  ktk maneno ya Kihaya! Kuna maneno na sentensi kama hizi:

  Nimeshiba bila kula = Nansiiba ntalile.
  Natafuta asali mbisi = Natafuta asali mbichi.
  Konda, konda mimi nateremkia hapo machoni = konda, konda waitu ninshukila aho umumaisho.

  nimeshiba = nimeshinda
  mbisi = mbichi
  machoni = mbele.
   
 14. piper

  piper JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kiswahili nakuja na meli banaaaaaa
   
 15. by default

  by default JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wahaya juu! Bukoba juu!
   
 16. Mto

  Mto Senior Member

  #16
  Nov 21, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Raia Fulani umedisaidi kutugambuira Wahaya wote ni stupid mbele ya wanaJF wote mpaka tunakuwa furious.... umeshiba.
   
 17. MatikaC

  MatikaC JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,200
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ila wahaya wanaboa na dharau zao yaani malimbukeni. unakuta kaoa au kaolewa na mzungu ukimwangalia huyo mzungu you wonder what the hell happen! halafu wanaume wao hawako fun
   
 18. g

  guasa JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2014
  Joined: Dec 30, 2013
  Messages: 1,868
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  wakati wa vita vya kagera waandishi wa habari walikwenda kuwahoji wakazi wa minziro.mzee rwegoshora akasema"mimi nimeibiwa gari tatu,chijana(kijana)wangu mbili,mzee kanyigo moja tena ilikuwa mupya" muandishi hee kumbe mzee ulikuwa tajiri yaani gari tatu unamiliki?wee chijana acha tena zote tatu zilikuwa na tairi mpya kasoro hazikuwa na kengele.kumbe kihaya baiskeli wenyewe wanaita gariii.
   
 19. b

  boniphae Member

  #19
  Mar 12, 2014
  Joined: Jan 31, 2014
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani anajua kiswahili vzr kwa sababu kila mt ana lugha mama na ndo hapo athari inapotoka.
   
 20. MatikaC

  MatikaC JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2014
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,200
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  na oksfwodi je? wahaya headache tu
   
Loading...