najua tishu inatumika kusafisha chupa au glass,lakini naona wadada hapa kila wakati tishu,tishu,tishu,nanunua tishu mpaka nataka kukatika mtaji,huwa wanazitaka za nini? au wana nia ya kunikomoa nikatike mtaji?