nikipata mvinyo akili huongezeka zaidi

nikipata mvinyo akili huongezeka zaidi

James Hungury

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
825
Reaction score
612
habar zenu watanzania katika safu ya jf,
napenda kuwashirikisha jambo hili,naomba mtoapo maoni mfikilie vyema ili mnipatie mchango mzuri wa kimawazo ktk hili,nimegundua kitu kimoja tangu nimeanza kutumia mvinyo(kilevi),wakati nikiwa nimelewa huwa naweza kufanya mambo makubwa sana ambayo hata mtu mwingne hawez kuyafanya ktk uhalisia wake,nachojiuliza hasa ni je,pombe yaweza kuwa ni kichocheo cha kuongeza akili au kupungukiwa akili?plz,tujadili.
 
Back
Top Bottom