CCM Wanapewa Kichapo Cha "Mayo Nanyaa"

CCM Wanapewa Kichapo Cha "Mayo Nanyaa"

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,565
Vichapo vinapishana viwango.

Kuna vichapo vya kawaida, vya kati na kichapo Kikuu cha hali ya juu.

Mtu akipewa kichapo kikuu lazima atapiga mayowe kama;-

"Mama nimekomaa"
"Mama Nakufaa"
"Uwii wananiuaa"
"Mayo Nafwaa"

Lakini kwa ndugu zetu wasukuma mtu akipewa kichapo kikuu utasikia anasema

"Mayoo Nanyaaa"

Mtu akilia namna hiyo ujue kweli kapata kipondo cha maana.

sasa CCM tunawasikia wanalia "Mayoo Nanyaa"

Nadhani kichapo cha UKAWA kinawaingia.
 
makamba wametumia muda na pesa nyingi kujiaminisha kwamba CCM inshinda I think is high time waanze kujitayarisha kisaikologia kwamba watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya nyuma
 
Yaani huwa hmna point kabisa kwenye mada zenu. Hivi Ukawa mnaamini kabisa kuwa mtaingia ikulu kwa porojoporojo zenu zisizo na mashiko?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom