Nilienda dukani kununua betri ya saa kubwa ya ukutani, sasa alitokea mteja aliyetaka kununua pakiti nzima ya kalamu, akaomba aandikiwe risiti, kimbembe kilitokea pale muuzaji kuulizia jina la...
Tupige kampeni hata za MTU kwa MTU ,Jana nilikuwa NA Mchepuko mazungumzo yalikuwa kama ifuatayo. Mimi. Baby umejiandikisha?!
Mchepuko: ndiyo.
Mimi: baby unanipenda?!
Mchepko: ndiyo nakupenda...
TAJIRI: Lete bia na kila mtu mpe yake mimi nikinya na watu wote wanye
WATU: Ndiooooooooooooooo waukweli
TAJIRI: Lete mchemsho na kila mtu mpe wake mimi nikila watu wote wawe wanakula
WATU...
Serikali ya India ilitangaza kuwa itatoa ruzuku ya rupia 100,000 kwa mwezi kwa kila mtoto kama familia kama itakuwa na watoto zaidi ya wanne. Hii maana yake kama familia ina watoto wanne kushuka...
Comprare falso di alta qualità / Passaporto registrato, patente di guida, Ids Many More ((((fakekyjimes@yahoo.com))))
Usiamo attrezzature e materiali di alta qualità per la produzione di...
Naomba tujihesabu wale ambao tuna vitambulisho vya kupigia kura.
Ili tusikosee idadi naomba twende kinamba yaani moja, mbili, tatu, nne na kuendelea.
Naanza mimi mwenyewe, MOJA.
Demu; Baby nikuulize kitu?
Young Sharo; Yes niulize wangu.
Demu; ivi kati ya Mimi, na hiyo timu yako ya Barcelona kipi unakipenda zaidi?
Young Sharo; Barcelona.
Demu; Kwanini?
Young...
Kuna mdogo wetu wa kike aliondoka miaka miwili ilyopita, alituaga ameenda kutafta kazi hyo ilikua ni baada ya kupata certificate yake ya mambo ya uhasibu.. leo amekuja nyumban baada ya hyo miaka...
Toka alfajiri viva viva, umeme umezimwa ukarudishwa tena, viva ROMA viva, repetition zaidi ya mara 400. Polisi njooni mfanye kazi yenu, sauti mpaka mtaa wa nne.
Wakuu kuna hoja fupi sana hapa, tunajua kuwa viumbe vyenye ndevu au masharubu ni vinne tu yaani, binadamu, paka na mbuzi pekee, sasa inakuaje samaki aina ya kambale anaota sharubu? Kama binadamu...
Salamu zikufikie Faiza Wangu,
-Haijalishi wana dunia watatugombanisha vipi,
-Haijalishi wataendelea kutusema kwa kiasi gani,
-Haijalishi kutofautiana kwetu katika itikadi ya vyama vya siasa...
HABAR! WANA JF!
NAOMBA DUA ZENU NPO KTK GARI NAELEKEA SOMANGA KILWA NAENDA KUFANIKISHA HARUS YA DADA YANG MPENDWA Zinduna Kuwandu ITAKAYOFANYIKA SIKU YA 05-09-2015 SOMANGA KILWA KARBUNI SANA...
Kitabu kimoja kimeuza copy zaidi ya billion mbili kwa siku moja, kinaitwa "An I idea that can change your Wife" wakat ilitakiwa kuwa "An idea that can change your Life".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.