JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi ni kijana wa kitanzania niliehitimu elimu ya juu mwaka 2012. Ndugu zangu wanaJF, nimekuwa nikipatwa na hili tatizo la kutakwa kimapenzi na wadada wengi kila niendepo hapa nchini...
1 Reactions
182 Replies
23K Views
Nilipokuwa shule ya msingi, kuanzia darasa la 4 hadi la 7 maksi zangu za hesabu kwenye mitihani zilikuwa zinacheza kwenye 03%- 08%. Matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya darasa! Yanapotangazwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Swali: CCM imeongoza Tanzania kwa miaka mingapi?. UKAWA (jibu): maCCM yametutawala na kutunyonya kwa miaka 50. Swali: Hiyo miaka 50 imepatikanaje? UKAWA (jibu): wewe vipi? Chukua mwaka 2015 -...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Wazee wetu wamepiga sana kazi, kulima mashamba makubwa, kupasua mbao kwa msumeno, kutembea umbali mrefu kusaka huduma mbalimbali. Na hili jumlisha kula vyakula vya asili ilipelekea sana kugongewa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waheshimiwa hamjambo? Sina mengi isipokua nataka tu kujua hivi kuna nywele za wanawake zinazouzwa laki tatu? Maana nilikua safarini kikazi, nimerudi hivi karibuni, na kwa kua nimepata vijisenti...
5 Reactions
81 Replies
12K Views
Salama wandugu.... Unamkubali nani humu JF ambae akitoa taarifa/ tetesi unaiamin na inakuwa ya kweli? Maana wengine taarifa zao huwa zimejaa figisu figisu....
0 Reactions
25 Replies
3K Views
ndugu zangu wana jf iwapo sasa hivi ukatokewa na malaika israel akakueleza amekuja kuitoa roho yako.neno gani la mwisho utalitoa???? andika wanajf wengine wasome.mwisho usiipende dunia sana kwani...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanajamvi heshima mbele! Kuna kitu nilikiona siku moja nikaona nifanye utafiti mdogo kuhusu hawa waendesha bodaboda, findings ni kama zifuatazo; Boda boda hawa wamekua wakitoa misamaha holela ya...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wanafunzi 5 walitoroka na kwenda disko ucku,waliporud asubuhi wakawa wamechelewa kufanya Test. Ikabidi wamdanganye mwalim walilala msiban wakapewa wiki ya kujiandaa ili wafanye Special Test,cku ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman nimeboreka sana leo kupitia simu ya wifi/shemej yenu nkaona ngoja nitafte mahal pakupotezea mda maana nilikuwa katka safar nkaona nkilala gest ntalala kwa mawazo kwel nikaijiwa na wazo la...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Imagine Binadamu Tungekua Tunakata Mitaa Bila Nguo.Unadhani Nini Kingetokea??Mana Watu Wanavaa Nguo Lakini Bado Macho Kodo Kutamaniana,ha Ha Haa Nawasilisha
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Goodday Siku usiyozani leo imetimia tulikuwa tunahesabu kama siku hii muhimu Wakati ukisonga na miezi kuandama na mwanga kutokea Leo ni siku mihumi ambayo utashaaa kuona kwani tunakumbuka miaka...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Bak
This guy has gone AWOL for sometime now. Where are you, dude?. You changed your ID or something!. BAK
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Niite Silent Soldier Humu JF, natafuta marafiki wa kike na wakiume. Nipo dar ingawa nyumbani Dodoma. Nimeishi mikoa kadhaa; Tanga, Bukoba, Morogoro, Arusha, Tabora, nk Nimemaliza kidato cha...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
jamaa mmoja alienda kwa mama muuza gongo(pombe) alivyofika aliagiza chupa tatu za pombe hio akazibugia zote na kuondoka kesho yake tena alirudi akaagiza chupa tatu tena akazifakamia...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
CCM tunaomba mtuletee na wasanii wengine maarufu kutoka nje kama Marekani,Nigeria,S.Africa nk. Hawa kina JB,Diamond,Chege, FA,Ray nk wamechuja.Kama hamuwezi kuwalipa wote tuwachangie, Sisi shida...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu salam, Jina lipi ni sahihi zaidi kumwita mtoto kati ya hili la lowassa na magufuli...Kumpa kijana wangu mtarajiwa wa kiume... Msaada please...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
mi nazimia dagaa wa kukaanga na ugali+pilipili na kachumbari.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kweli, hiki kitu sijakiona. Huu ni mwaka wangu wa nne hapa jf, na ID za wadada wa Jf ni za aina aina pamoja na zenye neno 'miss', 'madame'. Lakini sijakutana na id ya mdada yenye neno 'mrs.'...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom