Kwa lowassa au kwa wenger na morinho?!

Kwa lowassa au kwa wenger na morinho?!

Fabijr

Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
24
Reaction score
20
Jaman ndugu zangu mwenzenu nikonjiapanda mpaka sasa. cjui niende kuangalia mechi ya arsenal na chelsea au nikamsikilize mh Lowassa.
ebu nishaurini jaman...
 
Nenda tu kwenye Mpira, maana Sera za ukawa zimeshajulikana na km teyari una maamuzi yako kichwani sidhani km unaweza kubadilli leo kisa umeenda kwenye mkutano wa lowassa
 
Back
Top Bottom