Salaam ya lowasa yawa kivutio.

Salaam ya lowasa yawa kivutio.

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
Ni vile anavyopunga mkono taratibu ofisini kwetu yawa salaam rasmi baina ya wapenda mabadiliko, alianza mkurugenzi sasa imekua rasmi, yaani ukiingia unapunga tartiiibu hadi raha.
 
Kura zote ni kwa ukawa... Ccm hawana jipya! Ni porojo na ulaghai uleule miaka nenda rudi.
 
Ni vile anavyopunga mkono taratibu ofisini kwetu yawa salaam rasmi baina ya wapenda mabadiliko, alianza mkurugenzi sasa imekua rasmi, yaani ukiingia unapunga tartiiibu hadi raha.

Halafu kuna salamu ingne kwenye sim kama unampigia mtu unapiga sima anapokea unaanza
1; Mabadiliko
2; anajibu ukawa
1; rais
2; lowasa
 
Back
Top Bottom