Unazikumbuka filamu hizi??

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,413
6,570
kipindi hiko ITV ilikuwa kituo kizuri sana walikuwa na vipindi vizuri vilivyosisimua watazamaji wake. Mfano, kwenye filamu kulikuwa na filamu kama vile Rino rens jamaa alikuwa na anapenda sana pikipiki, point man, time trax, family matters na nyingine tele. Je wewe unazikumbuka zp?
 
Egoli, place of gold

the girl of tomorrow

days of our lives....(hii ilikua ctn)

the young and the restress

bold and beautiful....
 
Itv
____
1. Ile movie ya "V"
2. ile ya vicent jitu lenye sura ya simba
3.Mchezo wa kenya " Tausi"
4. Tamthilia ya mauaji "tahamaki"
5. Sumbi na bocha
6. Nyota ensemble
7. Mzee jongo na bi nyakomba
Ctn
____
1. Vituko vya mzee small "cheka na ctn"
Dtv
_____
1.Kitimoto cha pascal mayala
 
Comedy ya Living single (Queen Latifa), pia namkumbuka yule dada mnene wa itv aliyekuwa anataja kipindi kinachofuata anamalizia kwa tabasamu.
 
Itv
____
1. Ile movie ya "V"
2. ile ya vicent jitu lenye sura ya simba
3.Mchezo wa kenya " Tausi"
4. Tamthilia ya mauaji "tahamaki"
5. Sumbi na bocha
6. Nyota ensemble
7. Mzee jongo na bi nyakomba
Ctn
____
1. Vituko vya mzee small "cheka na ctn"
Dtv
_____
1.Kitimoto cha pascal mayala

hiyo red kwa mwenye kuikumbuka Jina naomba anisaidie nimeitafuta sana!!
 
Nashukuru nimeipata ni Beauty and the Beast.... niliipenda sana hii, pamoja na Bugs...... Unamkumbuka Mr T??
 
images
Alikuwa anaitwa VIncent
 
Motor Combart, Sunset beach, ila kiboko ni ile ya sokwe wa kwenye msitu wa Gombe staring akiwa Fifi umo ndani utakutana na wakina Kipara Mc Regan, ucpime kabisa ITV ya enzi izo
 
Back
Top Bottom