Ndiyo nimejua leo...
kumbe baby baby nyingi humu wazee wanasababu zao...
by the way!! nafurahia kuwa na mpenzi wangu shansarie..
my advice to 'Valentina'.... settle!! tulia upendwe.
my...
namini sikuzote ukweli unapobainika kinachofata ni aimbu mana ukweli utakua umejulikana na hakuna pakujifichia mana kila mahala patakuwa hapatoshi mimi namini wegine wanachekelea ila...
Mm ni very outgoing..napenda Sana kusafiri na kutoka ikifika weekend..tatzo linakuja kua I know only few people na Kwa wale watokaji mnajua how boring it can gt kutoka mwenywe..pili am...
toka mj mdogo lalago habalin zasubui natumaini wote niwazima waafya tena jema mimi nataka niongelee kuhusu viogozi wetu nazani mnamfahamu eduwad ngoyai paka sasa hatimayake ikoje mana nae...
Wanabodi kuna wadau mnatarajia siku moja muwe wabunge. Kutokana na kutokujua mmekuwa hamweki mikakati mapema kufikia lengo.
Kama unataka kuwa mbunge kwa mara ya kwanza hakikisha unaanza kuweka...
Wana jukwaa,
Hembu tukumbushane mambo mawili matatu ambayo tulikuwa tunayafanya kwenye jamii yetu kila siku baada ya miaka miachache iliyopita.
Unaweza kushare pamoja na sisi kuwa ulikuwa...
Wadau embu tujuzane. ..baada ya kupiga kura utakuwa wapi ukisubiri habari za kushitua .
Mimi nitakuwa nyumbani kwangu nimefungua geti natazama kituo. ..kwa karibuuu sana stone throw.
poleni na kaz
naomba msaada wiki ijayo nahitaji kwenda Bagamoyo na familia yaani mke na watoto 2 nikakaae kama Siku 2 lakini bahati mbaya sijui nini cha kutembelea nikifika huko licha ya kusikia...
TANGAZO!! TANGAZO!!
Kuanzia kesho Saa 6 mchana Barabara Ya Kwenda Mjini Kutokea MWENGE, KIMARA, MBEZI, MBAGALA, TEGETA, BUNJU, KAWE,
TABATA, BUGURUNI, MABIBO, TANDIKA, GONGO LA MBOTO pamoja na...
Tujiliwaze kidogo baada ya mabomu...
Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani.
"Toka hapa...
Wadau,
Mimi na mdogo wangu tulikula ada siku ya tarehe 24 kwenye mkesha wa kuiaga CCM. Mimi ni mwanafunzi nasoma masters na mdogo wangu anaingia mwaka wa pili undergraduate.
Tulikula ada kwa...
Wakati huku Dr Magufuri anaendelea kumtimulia vumbi Zee La Richmond..... Kule Diamond Platinum anazidi kuwanyoosha haters.... Epl nako Gunners mwendo mdundo.... Kwa hali kama hii kwann nisinenepe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.