Tangazo kwa wakazi wote wa Dar

Tangazo kwa wakazi wote wa Dar

Change_down

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
276
Reaction score
54
TANGAZO!! TANGAZO!!

Kuanzia kesho Saa 6 mchana Barabara Ya Kwenda Mjini Kutokea MWENGE, KIMARA, MBEZI, MBAGALA, TEGETA, BUNJU, KAWE,
TABATA, BUGURUNI, MABIBO, TANDIKA, GONGO LA MBOTO pamoja na zile za AIRPORT na NYERERE road na ile ya kutoka UBUNGO zitafungwa Hairuhusiwi Mtu, gari, pikipiki, Wala Chochote Kukatiza Kwa Sababu Mimi Nitakuwa Najifunza Baiskeli.

Wajulishe Na Wenzio
Ok. asanteni
 
Back
Top Bottom