JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi huyu member yupo kweli au amesafiri?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii kauli imenichekesha sana leo asubuhi katika gazeti. Eti mwanamke kamchapa Tyson K.O.. hehe Wassira katulia tuli mbele ya Esther Bulaya. Heko esta, mara haina mfumo dume tena
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba nisaidiwe ofisi tajwa hapo juu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zawadi nono kwa atakaejibu kwa Usahihi maswali yafuatayo: 1. Mwenye picha ya Magufuli akiwa na Mwl. J. K. Nyerere aitume, kuna 50,000/= angalizo isiwe editing 2. Mwenye picha ya Mh J. P. Magufuli...
2 Reactions
18 Replies
8K Views
Hii ni taarifa ya habari ya asubuhi kutoka televisheni yako ya Mabadiliko ya jijini Dar es salaam, Tanzania, msomaji ni mimi mwanamabadiliko! Habari za Kitaifa! Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Huyu jamaa anarudia maneno hayo hayo tangu ameanza kampeni 1.Sitawaangusha 2.Standard geji 3.Ring road 4.Upembuzi yakinifu 5.Nikafunge makufuli huko juu 6.Nasema kweli kabisa 7.Hiyo pawa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nachoweza kusema ni shikamoo wachawi, baada ya jirani yangu ajulikanaye kama baba Masawe kuamka leo asubuhi akiwa na matope kibao wakati usiku kucha alilala na mke wake lakini asubuhi alipoamka...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
2005 ukipiga kura unakaa mita 100 2010 ukipiga kura unakaa 200 M 2015 ukipiga kura unaenda nyumbani 2020 ukipiga kura unaenda nchi Jirani
2 Reactions
8 Replies
2K Views
nasikitika kuwataarifu kuwa mbwa wa jirani yangu aitwaye Pupy Mgombea amekanyagwa na baiskeli akiwa angani. Imeniuma sana ila basi tu!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yule kiumbe wa ajabu Mikumi, simba mwenye vichwa 2 na macho ma 3, amebadilika na kuwa mkubwa kama nyati. Ni purukushani ndani ya pori, kwani anawaswaga wanyama wengine: tembo, vifuru, simba kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuanzia 2008 hadi leo. Naisikia live sauti yake mpaka nimekata tamaa. Nimejikabidhi kabisa kwamba sasa ni motoni confirmed. Na hiyo ni mimi peke yangu. Huu ndio utaratibu mpya wa mungu. Mimi...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Wakuu poleni kwa miangaiko na mishe mishe za kampeni iliyoisha hivi punde. Leo baada ya mkutano ulioisha hivi punde huku kanda ya ziwa, Lile tangazo la Mangi na mteja wake limepata umaaarufu...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Kuna tukio la kushangaza limetokea sumbawanga baada ya mzee moja baba mwenye nyumba mwenye tabia ya unoko unoko kwa wapangaji wake kuamka asubuhi na kujikuta yupo ndani ya kabati la nguo na cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mtu ukila chakula usiku na ukavimbiwa sana lazima usiku utaota ndoto za ajabu ajabu,kutishatisha na mazombizombi tu kama uhamini jaribu kuvimbiwa leo usiku, sijajua kwa nini inakua hivi,
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hivi kwa nini watu wanakunywa bia/pombe? kwa tusipokunywa pombe kuna ubaya? why tunakunywa pombe?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna jambo linasumbua sana akili yangu, hivi kwanini wanawake wa uswazi kama Mbagala, Tandale, Manzese, Buguruni,nk. wanapenda sana kupiga umbeya na ushambenga kuanzia asubuhi mpaka jioni ina...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
ni zaidi ya miaka 20 tangu nizaliwe(aged but still a young).. namshukuru Mungu kwa kunilinda mpaka siku ya leo tar 9/9 licha ya changamoto mbalimbali za kimaisha.. Nimekuwa member ya jf kwa mda...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu nipo bagamoyo nakula bata karibuni wandugu wa jf
1 Reactions
12 Replies
2K Views
ni kitambo sasa toka nijiunge na jf hasa chit chat sijawahi kupata marafiki kwahiyo naomba kwa aliye tayari anicheki kwa nyoniben2@gmail.com
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom